ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Walienda kuzuia na kuharibu mitambo ya kutengeneza na kurushia maroketi sasa kama walifanikiwa katika hilo hayo maroket yanayo rushwa sasa yanatoka wapi?Operation ya 2014 unairudia ukidai haikufua dafu, unajua walienda kufanya nini?
Hamas iliteka Wayahudi, Israel ikafanya arrest ya mamia ya Hamas fighters na Waarabu, Hamas ikarusga makombora.
Israel ikaanzisha operation kuzuia Hamas isirushe makombora. Mwisho wa operation ukaisha Hamas haikuendelea kurusha makombora, Israel ilipoteza watu 70 hivi na Gaza ikapoteza watu zaidi ya 2,000 wakiwemo Hamas na raia plus majengo mengi yaliyofanywa magofu.
Operation haikufua dafu gani hilo unalotaka wewe?