Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Inaanzaje ku share Ardhi yako na mvamizi,yani USA & UK waliharibu hili eneo kwa malengo yaoHao Harmas ndo wapelestina ?Hii historia ya Palestine na Israel inasikitisha.Si wanashare nchi moja.Waishi kwa amani jamani.