LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
UK, USA, na umoja wa Ulaya wametoa tangazo kwamba wapo pamoja na Israel na israel wanayo haki kujitetea kutoka kwa uvamizi wa magaidi. unategemea kitatokea nini kuanzia leo usiku? Mungu awasaidie tu watoto na wamama.
 
“Niliwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kwanza niliwaagiza kusafisha makazi ya magaidi waliojipenyeza – operesheni hii inafanyika saa hizi.

"Wakati huo huo, niliamuru vita vya kulipiza kisasi kwa nguvu na kwa kiwango ambacho adui hakuwahi kujua.

"Adui atalipa gharama ambayo hajawahi kujua. Wakati huo huo, natoa wito kwa raia wote wa Israeli kutii maagizo ya jeshi na mengine watakayopewa na mamlaka.

"Tuko kwenye vita na tutashinda.'

Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu
 
Msimamo wako kuhusu Israel kwenye hii comment umebadilika Sana nini tatizo?
msimamo haujabadilika, kwasababu ninao uhakika vita watashinda israel, nilikuwa naongea kwa upande wa pili kwasababu hakuna ubishi kwamba intelijensia ya israel ilifeli. huwa wanawalipa pesa nyingi sana wapalestina kama mashushushu na waarabu wa kiisrael, nadhani sasaivi walijisahau.
 
Nimekupata nilisikia MOSAD ni noma propaganda tupu mpk wnshindwa kutegua mtego w leo
 
Naona dalili za siku moja kuja kutokea maafa duniani kama ya Hiloshima na Nagasaki. Marekani ilishatoa muongozo, na hii hali itajirudia tu wakati wowote. USA inaitetea Israel. Qatar na Iran wanaisupport Palestina. Makundi ya Kiislam lazima yaunge mkono Hamas. Mi sielewi lakini huo tu ni wasiwasi wangu.

Hivi,kwa anaeelewa History vizuli. Eneo Israel inalopigania huko Palestina ni lake,au ni ubabe tu?
Kutoa support kwa Palestina sio kutoa support kwa Hamas au Hezbollah. Kwa Qatar ni bora iwe upande wa Israel kuliko upande wa Iran.
Kwanini nchi za Kiarabu kama Saudi Arabia zilifurahia Iran kuvamiwa na Iraq mwanzoni mwa 1980s?

Kwanini Saudi Arabia na Kuwait ziliita Marekani ije kuzitetea dhidi ya Saddam Hussein kwenye Gulf war?

Kwanini Saudi na Waarabu wengine walifurahi Saddam kutoelewa mwaka 2003?

Kwanini Syria iliondolewa jumuiya ya Kiarabu kwa miaka kumi wakati Assad anapambana na wanamgambo?

Kwanini mwaka 1972 Anwar Sadat aliuwawa na Waarabu, kwanini alisaini mkataba wa kumaliza vita na Israel wakati Syria walioanza nao wamekamatwa wako hoi wanaomba msamaha Israel isiufuate mji wao mkuu Damascus?

Middle East haiko hivyo kidini tu. Kwanza Washia na Wasuni hawapendani zaidi kuliko ambavyo Waislamu na Wakristo wa eneo lile wasivyopendana. Hezbollah yenyewe ina Wakristo kibao, ila Wasuni hawapendelewi sababu ya sponsor wao Iran. Usitegemee Hezbollah iungwe mkono na Saudi au Egypt kisa ni Waislamu
 
walijisahau tu, ila kwa ushushushu, hadi wavaa kobaz wa Iran huwa wanapokea mgao na wanatoa siri. tafuta pesa.
Ndio hivyo hakuna system isiyo n matobo wapmbne tu ila wapinguz mbwembwe.
Iran mwaka jana walimnyonga waziri wao wa fedha kwa kuifanyia ushushuri Israel.
 
UK, USA, na umoja wa Ulaya wametoa tangazo kwamba wapo pamoja na Israel na israel wanayo haki kujitetea kutoka kwa uvamizi wa magaidi. unategemea kitatokea nini kuanzia leo usiku? Mungu awasaidie tu watoto na wamama.
Kwani hata Ukraine si walitangaza hivihivi? Au mmesahau😂😂
 
"We are ready for the worst-case scenario, including a ground invasion, which will be the best for us to decide the ending of this battle," al-Arouri told Al Jazeera Arabic Saturday.
 
"We are ready for the worst-case scenario, including a ground invasion, which will be the best for us to decide the ending of this battle," al-Arouri told Al Jazeera Arabic Saturday.
miaka yote wamesema hivyohivyo, ila huwa wanadondokea pua.
 
Israeli warplanes destroy an 11-story building in downtown Gaza City , it houses Hamas radio stations in the rooftop, one of the biggest buildings in Gaza
20231019_132822.jpg
 
BREAKING: The UAE calls for 'immediate ceasefire' between Israelis and Palestinians
 
Back
Top Bottom