Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hamas haijawahi kuwa na mwishoMajibu ya Israel huwa ni ya kikatili mark my words huu ndo mwisho wa hamas na mwanzo wa maisha mabaya sana kwa wapalestina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas haijawahi kuwa na mwishoMajibu ya Israel huwa ni ya kikatili mark my words huu ndo mwisho wa hamas na mwanzo wa maisha mabaya sana kwa wapalestina
wayahudi woote duniani huwa lazima waende walau miezi 6 kutumikia jeshi israel. marekani kuna wayahudi karibia 10m, ulaya ni wengi pia, australia na kwengine. wote hao ni wanajeshi, na ikitokea vita namna hii wanaweza kuitwa kurudi kupigania nchi yao.Huko sidhani kama watu wanakimbilia ajira za jeshi,maana kila mara wako standby,hakuna lelemama.Kwakweli ni kushukuru kama upo kwenye nchi kama hii.
Urusi ina zaidi ya mwaka vitani na mafanikio yake na makosa yake hayahitaji nguvu nyingi kuyaona, Israel ina shambulizi halijatimiza hata 24hrs tiyari unailinganisha na Urusi.Kwa hiyo ww makosa yakitokea upande wa unao wapenda ndo hoja ya wao ni binadamu sio mungu ina kuwa na maana, lakini ikitokea upande usio upenda sasa hapo hoja binadamu hajakamilka hivyo ana fanya makosa haina mashiko sio?
Ww si ndo unashinda humu unaziponda integensia za Urusi pale inapo tokea tukio lolote la kiusalama ndani ya nchi hiyo? Au kwenye integensia za Urusi malaika ndo wanao fanya kazi na sio binadamu hivyo hawasitahili kufanya makosa?
Tulete list ya missions za Mossad vs za FSB hapa tuone nani ana successful missions nyingi?Tatizo lako mkuu huwa unaongea kumaliza na ndio maana mwisho huwa unajikuta umeumbuka.
Kila siku ulikuwa unaimwagia sifa mosad lakini leo hii hiyo mosad kwa miaka mingi imeshindwa kudhibiti kabisa silaha zi siifikie Hamas licha ya kuizingira gaza kila upande tena eneo lenyewe ni dogo mno.
Kwa udogo wa eneo la Israel kufanyiwa ambush kama ya leo ni dhihirisho tosha ya kuwa hiyo mosad huwa mnaikuza tu lakini ni ya kawaida sana.
Si lazima niwepo kwenye ule uzi, sikuanzisha mimi. Nisipokuwepo unapungukiwa nini, zaidi ya mwaka vita inaendelea na sina muda wa kuzungumza jambo lilelile muda wote. Hii ya Israel hata miezi haitopita itakuwa imeisha na mambo mengine yaendelee.Tabia yako ya kutokuwa na akiba ya maneno imekufanya mpaka sasa umeukimbia uzi wa vita ya Ukraine.
Tuseme silaha za Magharibi sio bora, Israel wamezitumia miaka yote kupigana na maasimu wao na matokeo unayajua. Una silaha bora, ni jeshi la pili duniani ila unapigana na nchi dhaifu haipo hata kwenye majeshi 20 bora duniani unakaa mwaka mzima na silaha zako bora hata air dominance tu huna.Ulikuwa unashinda kwenye uzi kazi yako ni kuzisifia silaha za kimagharibi kuwa ni bora na za Urusi ni dhaifu ,leo hii Ukraine unafanya Offenseve kwa kutumia maelfu ya hizo silaha za kimagharibi lakini mpaka sasa zimeshindwa kuisaidia Ukraine kuteka hata wilaya moja kwa zaidi ya miezi 5.
Maandamano ya kusaidia upinzani na watu wa Palestina huko Tunis, mji mkuu
View: https://youtu.be/m2xCOG0gtHE
Leo jioni Jumamosi, idadi ya wanaharakati wa Kitunisia walifanya mkusanyiko kuunga mkono upinzani wa Palestina na watu wa Palestina, mbele ya ukumbi wa mji wa Tunis.
Mara nyingi viongozi wakubwa wanakaa kwenye basement ikiwepo vita namna. Hawawezi kaa kwenye jengo la ghorofa 14 na jengo maarufu Gaza nzima.Hilo gorofa lililobomoshwa nitashangaa kama viongozi wa hamas watakuwa wamo humo. Ukiisha ichokoza hivyo israel ni either utafute handaki au ukimbie nchi.
Ile series matata sana. Ila wale akina Doron waligeuziwa kibao sehem ya mwisho Hadi nikawaonea huruma.
viongozi wa hamas wengi wapo uturuki na ukimbizini, wanaongea wakiwa mbali mkuu.Mara nyingi viongozi wakubwa wanakaa kwenye basement ikiwepo vita namna. Hawawezi kaa kwenye jengo la ghorofa 14 na jengo maarufu Gaza nzima.
Ila nyumba ya kiongozi mkuu wa Hamas kwenye Gaza strip imeshambuliwa.
Duuuh! hii tungeichukua nasisi,ili kuvimbiana kupungue.Huko sidhani kama Kuna inshu za mwanajeshi kumpiga dereva wa BUS makofi,maana anajua akiriakti ni mtiti.Tushukuru huku kuna wanaochukua mafunzo kwa gharama za serikali,halafu wanajipigia tu raia,waliotoa pesa kwa njia ya kodi,ili wakapate mafunzo.Kwanza Rais aamuru BOGI moja likatwe,liende kusaidia kufanya operesheni huko Gaza,tudumishe ushirikiano na Israeli au Palestina.wayahudi woote duniani huwa lazima waende walau miezi 6 kutumikia jeshi israel. marekani kuna wayahudi karibia 10m, ulaya ni wengi pia, australia na kwengine. wote hao ni wanajeshi, na ikitokea vita namna hii wanaweza kuitwa kurudi kupigania nchi yao.
Kuna mmoja nimemuona amevaa kijeshi anasema yuko tayari afungiwe bomb arushwe nalo Tel aviv, alikuwa anawatia morali vijana wake. Tatizo humo gaza ni kama manzese pamebanana huwezi kujua hamas ni nani na nani ni raia.viongozi wa hamas wengi wapo uturuki na ukimbizini, wanaongea wakiwa mbali mkuu.
Naona muda unavyozidi kwenda matamko yanaongezeka ubabe taratibu.
Amevamia akitokea wapi?Inaanzaje ku share Ardhi yako na mvamizi,yani USA & UK waliharibu hili eneo kwa malengo yao
Wameshatikiswa wametikisika,, safi sana. Tusisikie upande mwingine wakipiga mayowe.“Niliwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kwanza niliwaagiza kusafisha makazi ya magaidi waliojipenyeza – operesheni hii inafanyika saa hizi.
"Wakati huo huo, niliamuru vita vya kulipiza kisasi kwa nguvu na kwa kiwango ambacho adui hakuwahi kujua.
"Adui atalipa gharama ambayo hajawahi kujua. Wakati huo huo, natoa wito kwa raia wote wa Israeli kutii maagizo ya jeshi na mengine watakayopewa na mamlaka.
"Tuko kwenye vita na tutashinda.'
Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu
anasema hivyo ila bomb likidondoka karibu yake anavyoruka na kukimbia anakuwa wa kwanza. they are just cowards.Kuna mmoja nimemuona amevaa kijeshi anasema yuko tayari afungiwe bomb arushwe nalo Tel aviv, alikuwa anawatia morali vijana wake. Tatizo humo gaza ni kama manzese pamebanana huwezi kujua hamas ni nani na nani ni raia.