LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hao wapalestina hawaogopi kifo wameshateseka sana mpaka wamesema liwalo na liwe. Wameonewa sana wamenyanganywa ardhi na wanauwawa kila siku. Sometimes bora kufa shujaa kuliko kufa kifala.
lakini hao waisrael wenyewe wanaogopa kufa na wanapenda maisha kwa sababu wao wana maisha mazuri wamewanyanganya wenzao ardhi zenye rutuba na wamejenga mahekalu. Wapalestina hawana cha kupoteza ila waisrael wao hawapendi kufa sbb wana mali na makazi mazuri.
Ila sasa hapo ni ama warudishe ardhi waliyonyanyanga au waishi bila amani.
Wamewanyang'anyq wapi mkuu?
Yaani Israel na Palestine issue Yao sio km watu wanavyoichukulia!

Hapa Palestine ndo sio kwake!
 
Kuna watu wanajizima data kwa ukatili ambao miaka mingi Wapalentina wamekuwa wakishuhudia dhidi ya Israel ..View attachment 2776031

Mwaka huu Israel walifanya operation kali Jenin na kufanya uharibifu mkubwa.View attachment 2776036

Hili mwaka jana walipofanya uchokozi.View attachment 2776041
Ni kujibebea laana kabisa....
Kuwapa mgongo WA palestina ni laana...
Mimi nimesoma Hadi hapo BBC chapisho la 6days war....ni wazi kabisa Hawa jamaa wamewakwapua wapalestina ardhi Yao.....embu imagne mtu aje achukue kiwanja chako alafu anajipigia na fensi kabisa.....
Duniani Kuna watu wakatili sana....
Angalia hiyo stori ya milima ya golani,imagne huo ukuta WA kimabavu....
Kweli ni Mungu ndo ana amuru huu ukatili?
Watu WA Dunia wanataka WA palestina waende wapi?
Maana kadri wanavyozidi kukaa kimya watapotezwa kabisa hapo kwenye ardhi Yao...
Mungu ninaemuamini ipo siku ataleta suluhisho Kwa watu WA palestina Kwa sababu na wenyewe wameumbwa na Mungu huyo huyo
 
Sasa why mnaona WA palestina hawastaili ardhi Yao?
Tuanzie hapa maana hata yoote yanatokana na hicho chanzo..
Hatuwezi ongea lugha moja sbb
Kila mmoja anatetea kutoka Kona tofauti!
Kuna hii ya Imani
Na Kuna wengine hawaangalii hii....shida Iko hapa kwenye tofauti!

Mi nikisoma kitabu Cha Hesabu 33 pale , Palestine sio pake hapo!

Haya ukija kwenye siasa huku nako Kuna sbb zao, Bado hujaenda Imani ya Muslim.
Ndo maana Hawa watu Mungu pekee ndo atamaliza hii, na hii haitakaa iishe mpk Yesu anarudi,itakua unapumzika tu ...
 
Akitakq Israel ashinde atafute sababu aishambulie iran na kuipotezea nguvu ya kusupport maadui zake.

Hapa anahangaika tu. Dunia nzima tumeona ameabika na hakuwa makini kulinda raia wake kwa haraka wakati wa kushambuliwa.

Anataka kuua raia wengi ili kurudisha matumaini kwa raia wake.
Baada ya furaha sasa ushabadilisha uelekeo tena
 
Another video, this says alot about these guys.
A land conflict but they kill in the name of God, Is this land conflict or a religious conflict.
How Ironic!!!

Are they even humans?Just see what IsIamic terr0rist are doing with an Israeli citizen … Shame on them who are supporting these monsters.This is terrible, I couldn’t watch the whole video! #Israel_under_attack #IStandWithIsrael #Israel_under_attack
 
Hatuwezi ongea lugha moja sbb
Kila mmoja anatetea kutoka Kona tofauti!
Kuna hii ya Imani
Na Kuna wengine hawaangalii hii....shida Iko hapa kwenye tofauti!

Mi nikisoma kitabu Cha Hesabu 33 pale , Palestine sio pake hapo!

Haya ukija kwenye siasa huku nako Kuna sbb zao, Bado hujaenda Imani ya Muslim.
Ndo maana Hawa watu Mungu pekee ndo atamaliza hii, na hii haitakaa iishe mpk Yesu anarudi,itakua unapumzika tu ...
Usizunguke mkuuu..
Unafurahia uzulumati WA wazi wazi na matendo ya Israel kuua wengine ni haki Yao....
Umeona Ile video wakipiga watu msikitini hao jamaa kipindi Cha mwezi ramadhani...?
 
U.S. officials believe that Israel will start the ground operation in the Gaza Strip in the next 24 to 48 hours.
 
Nonstop Israeli airstrikes on targets across Gaza tonight. Easily the heaviest intensity yet.
 
Usizunguke mkuuu..
Unafurahia uzulumati WA wazi wazi na matendo ya Israel kuua wengine ni haki Yao....
Umeona Ile video wakipiga watu msikitini hao jamaa kipindi Cha mwezi ramadhani...?
Nadhani hujanielewa
Sa nimezunguka nn hapo?
Mi nimekupa sbb tofauti hapo!

Kwa mfano mi nitakwambia Palestine ni mvamizi according to Imani yangu nikisoma bibilia, Israel waliwekwa hapo na Mungu!
Lkn Kuna sbb tofauti hapo plus za kisiasa,nk....
Kwahiyo na mwingine anazo sbb zake km we hapo unaona pajestina anaonewa , mwingine anaona sawa tu .
Lkn mwisho wa siku Shauri la Bwana ndo litasimama hakuna namna...bila kujali sijui nani kaonewa sijui mwingine anaonaje
 
Hahaha safi sana, labda walidukua Television walitaka kuangalia movie za bure. Keep up.
 
Mkuu kwa nini israel ipewe msaada wa kijeshi wakati haijatumia chochote bado na inapigana na vikundi vya kiraia tu. Nimesikia Biden anataka kumpa msaada wa kutosha. Au kuonyesha support tu.
Ukiacha ukaribu uliyopo baina ya US na Israel ni kwamba: Miongoni mwa duru nyengine zinasema Israel nayo ni miongoni mwa mataifa yaliyokuwa yanaisadia Ukraine silaha kisiri.

Duru zinasema;sababu hiyo imepelekea Israel kwa kiasi fulani kuwa na upungufu wa silaha. Na kilichotokea kwa Hamas kinahitaji nguvu kubwa kukituliza kwa sababu ni war.

Binafsi naendelea kufuatilia. Chochote nitakachokipata zaidi kwenye hili swali lako, nitajaribu kuku tag kwa kadri ya nitakavyoweza.
 
Asante sana. Yap wao walipeleka silaha indirectly. Waliwauzia watu wa poland na nato wao ndio wanazipeleka Ukraine. Walikwepa bifu na Russia.

Ngoja tufuatilie.
 
Wayahudi kutoka tandale hawa amini wanacho kiona mpaka sasa maana wateule wao wame pigwa pigo moja takatifu na mujarabu alafu la aibu.
Ngumi ya muoga inaumiza sana... Maana anakuwa kakusanya nguvu zake Kwa hiyo blow Moja matata....
 
Ndiyo hivyo ndugu yangu, kitendo kilichotokea kuanzia jana na kuendelea mpaka leo kimewavua nguo sana Israel. Kuanzia ubora wa idara zao za kijasusi, ubora wa jeshi lao na zana za kivita.

Mbaya zaidi imeonyesha kuwavua nguo kiasi washirika wake (M16&CIA) kwamba nao hawakujua chochote kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom