LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
JUST IN: Dozens of ambulances are heading from Beirut to South Lebanon in anticipation of what might happen.
 
Hii vita inachukuliwa kidini zaidi, wahindi hawawapendi kabisa waislamu na huwa wanawabagua waziwazi wakiwa baadhi ya sehemu za India, wadada wanaovaa Hijab huwa wanarushiwa mawe na watoto wadogo kabisa
Duuh aisee ndo maana basi wanachuki sana sana
 
Walikuwepo hapohapo miaka yote, na wote Wayahudi na Wapalestina walikua chini ya utawala wa ukoloni wa Muingereza.
Sema mwenye sauti na ambao walikua wengi na kutawala pale ukimuondoa Uingereza alikua ni Palestina
Hivyo story za watu kuwa pale hawakuwepo si kweli, kilichotokea ni baada ya Wayahudi kuuawa sana huko Ulaya na chuki kujengwa dhidi yao ndipo wakaona kuna umuhimu wa kurudi kwenye ardhi yao ya asili wakaungane na ndugu zao. Hicho kitendo cha kuji mobilise na kuamua kurudi ndiyo watu wanasema wazungu w ulaya walienda kuvamia, wanasahau kuwa hata kabla ya kuamua kurudi, tayari wenzao walikuwepo pale wakipambana na wapalestina, maana wayahudi walikuwa ndiyo wanaishi maeneo machovu na walikua ndiyo watu duni huku Palestina wakila bata.
Wanasahau Crusades zote zilizopiganwa pale Jews walikuwepo.
Wanaleta story sijui Asheknza Jew mara Jews wa wapi yote ni kujichanganya tu, sababu watu kuchanganya asili ni kawaida, machotara siku hizi ni wengi, na mhusika ndiyo ataegemea asili anayoipenda lakini zote anakuwa tayari anazo.
Nchi ya Israel ilikiwa wapi kabla ya 1947?
 
Ni wakati wa Mungu wa Israel kulinda watu wake yeye mwenyewe sio kuwapa watu mzigo wa maombi kwa mambo ambayo hayawahusu.

Kama yeye mwenyewe Mungu wa Israel ameshindwa kuilinda Israel yake hadi ipigwe mabomu na Hamas, wewe mnyambo wa Karagwe unakesha kuiombea Israel una akili kweli?
 
Kinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea kule kufanywa kule gaza dhidi ya watoto na wamama wa kipalestina.

Nimeona video nyingi za kuogofya na kusikitisha. Hii nguvu waalotumia jeshi la israel dhidi ya raia wa kipalestina ni kubwa mno. Tuyalaani matukio ya kinyama yanayofanywa na jeshi israel kwa raia wa palestina.
Wakati wanawaua waisrael kwenye sherehe yao sini mlikua mnafurahi!?;
 
Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari

Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema

Source Al jazeera news
Nasikia hao jamaa wote wana microchip hivyo jamaa wanawafikia soon.
 
Back
Top Bottom