LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Zimebaki kilometers 10 tu Hamas waingie ukingo WA magharibi Israeli upande wa ardhini naona imezidiwa
View attachment 2777125
Unajifurahisha siyo?
Hamas pekee ambao wapo ndani ya Israel ni wale waliokimbia na kujificha ambao wanatafutwa nyumba kwa nyumba uchochoro kwa uchochoro.
Na kwa taarifa yako tu ni kwamba sasa hivi ndani ya Israel hadi wananchi wameungana na Jeshi na Police kulinda doria na kusafisha kila aliyebaki.
Halafu wewe unatuletea porojo hapa?
 
Naona Islamic jihad kutoka Lebanon wamejibu mapigo Northern Israel wameamua chumoma moto msitu wa Israel.
 
Wewe myahudi wa iyunga hao waisraeli wenyewe wanampinga christo hapa sasa hivi wanashambulia makanisa yaliyopo gaza
Iwe wanampinga kristo hawampingi haiondoi au kubadirisha ambacho Mungu alisema!
Neno la Mungu halibadiriki!
Lkn pia Israel Kuna dini kibao km nchi nyingine..
 

Sikutaka kuiweka ila ngoja nikuwekee! Hii vita imefikia pabaya!

Abu Obaidah Hamas Spox:

Obaidah: We have decided to put an end to the Zionist opression of our people

Obaidah: From now on, every attack on our people will be met with the execution of one of the enemy hostages, which will be broadcast and publicised
 
Sema hii mambo ya kuchinjana wanayo sana....Anyway mdomo koma.
 

 
Waislamu mnakubalije wahalifu watumie maneno yenu ya Allah Akbar wakiwa wanafanya uhalifu? Kwa kuua watu?
Ulitaka wamtaje yesu wakati wayahudi wamepiga marufuku jina la yesu lisitumike kwao?

Happo sasa.
 
Saudi has informed the US Secretary of State, Antony Blinken, that it is ending all negotiations on normalising relations with Israel.
 
Naona taifa teule badala wawafuate hamas kwenye medani hasira zote wana zihamishia kwenye majengo na kwenye kambi za wakimbizi kweli Israel ina jeshi michicha sana.
Ukiwa mtu wa akili na kutafakari lazima uikubali hii mbinu ya Israel.
Kinachofanya hapo ni kuharibu Miundombinu yote Majengo Ili wakose huduma then Sasa waingie ndani kutembeza Kichapo wakose pa kukimbilia au kujificha ww subiria wataona Cha mtema Kuni
 
Mungu asimame atutetee!
Kichapo Cha kushitukizwa Tena alfajiri (ya honey moon?) Kinahuzunisha na kutia hasira sana!
Lakini hao hamas nao ni wazi wamechoshwa na hali ngumu walizowekewa na Israel na Misri 2007! na kilichobaki kwao ndiyo hivyo tena, ila naona kama wametia pilipili kwenye kidonda kibichi...
 
Back
Top Bottom