Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,516
Mkuu hata wewe jishangae maana pia uliona kubomoa majengo ukraine ni sawa.na kuvamiwa ukraine ni sawa so kwangu wote ni wanafiki ,wewe na huyo!Sasa kama Hamas wameuwa raia na ww ukaenda kulipiza kwa kuuwa raia utakuwa na tofauti gani na Hamas unao waita magaidi?
Ww si ndo ulikuwa unashinda humu unapiga kelele na kulia kulia kipindi Urusi inashusha majengo nchi Ukraine sasa iweje leo ukishabikie kwa Israel wakati ulikuwa una kipinga kwa Urusi?
Israeli inacho kifanya akioneshi nguvu bali kinaonesha jinsi ilivyo dhaifu tofauti na tunavyo aminishwa kwa sababu kama ni kubomoa majengo kwa kutumia ndege hata jeshi la nchi yetu linaweza kwasababu anga la Gaza halina ulinzi.
Alafu kuwa na akiba ya maneno hiyo ni vita na vita haijawahi kuwa rahisi kwa mtu yeyote haijalishi unaye pambana naye ana uwezo gani.