Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Ilikuwa na watu waliotapakaa baada ya kufanywa wakimbizi kutoka ardhini kwao.Kabla ya mwaka 1947, Israel ilikuwa wapi hapa duniani?
Miaka 400 ya ottoman dola la kiislam
Miaka zaidi ya 100 chini ya utawala waarabu
Ubaguzi waliofanyiwa kwa wachache waliokuwepl na badl kukimbia