LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kabla ya mwaka 1947, Israel ilikuwa wapi hapa duniani?
Ilikuwa na watu waliotapakaa baada ya kufanywa wakimbizi kutoka ardhini kwao.

Miaka 400 ya ottoman dola la kiislam

Miaka zaidi ya 100 chini ya utawala waarabu

Ubaguzi waliofanyiwa kwa wachache waliokuwepl na badl kukimbia
 
kWani Hamas sio wapalestina? Hamas ni kikundi cha waharakati cha wapalestina. Japo Israel na Marekani wanawatambua kama kikundi cha kigaidi lakini ndio wamepewa dhamana ya kuoongoza na wapalestina. Hii ni baada ya kuona PLO ya mzee Arafat inaomba haki za wapalestina baala ya kudai. Kwa hiyo hakuna HAMAS bila Palestina.
Ndio maana wamejiita Hamas. Ukisema wapalestina unajumuisha hata wasioiunga mkono hiyo Hamas. Waite kwa jina lao wala usichanganye mambo. Mbona wenyewe wanafurahia kujitambulisha kwa jina lao halafu wewe mkulima wa Nanyumbu unawakosea adabu kwa kuwabatiza jina jipya. 😂😂
 
Unaweza kunifahamisha zaidi kwa nini hawezi?
Nimesema huko juu Israeli hawawezi kupigana "urban warfare" watakufa wengi.

Hivyo vikundi ni wataalam wa "urban warfare".

Israeli mara nyingi hutumia anga kushambulia maadui zake kwa ndege zake za kivita.
 
Badala ya kupiga adui unabomoa maghorofa,huo ni ujinga na aibu kwa jeshi linalojidai la Israel,Hamas wenyewe wametulia sehemu na mateka wao,wanajua wale mbuzi sharti waje kuwakomboa
Lengo la Israel ni maeneo ndiyo kipaumbele chao, hayo maghorofa yakigeuka kifusi, wanajenga makazi ya walowezi 😄😄...deal done
 
Wataingia tu, maana huwa wanaingia huko kama msalani kwao haitakuwa mara ya mwisho wala ya kwanza
Hamas wanajua Hilo,na ndiyo ulikua mpango wao,wachukue mateka,wanegotiate wenzao kuachiwa,so wamejipanga kwa kila kitu,na Hamas wapo vizuri kwa mapigano ya ana kwa ana ukiondoa mizinga na ndege
 
Waziri wa nishati wa Israel aitwaye Israel Katz amesema hakuna tone la maji hata moja litakalopelekwa Gaza wala chakula chochote na hata gari la mafuta kwa ajili ya kituo cha umeme, mpaka hapo raia wao wanaokisiwa kufikia 150 watakapoachiwa huru
Wananchi wa Gaza wanasema hawastahiki Adhabu hii kwani wao sio HAMAS

‘We’re not Hamas’: Gaza residents say airstrikes are putting civilians in grave danger


View attachment 2779891
View attachment 2779902

No power, water or fuel to Gaza until hostages freed, says Israel minister

Hawa Wapelestina waache kuudanganya ulimwengu wa leo, watu wafanye mazoezi nchini mwenu watokee nchini mwenu wakashambulie nchi ingine kwa silaha nzito nzito kutokea Palestine eti serekali yao isifahamu haiwezekani waache kuwaona watu kama wajinga wanachopata wanastahili na ndio dhambi yao ya kufuga makundi wanayo yafahamu.
 
Back
Top Bottom