Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas mpk waseme,bado hawajasemaKuamkia leo tarehe 18/10 Israeli imeshambulia hospitali iyopo Gaza na kuuwa zaidi ya watu 500!! HAKIKA kitendo hiki ni kibaya na kimekiuka haki za binaadamu.
Israeli imevuka mipaka kwa kushambulia raia wasio na hatia
Kuamkia leo tarehe 18/10 Israeli imeshambulia hospitali iyopo Gaza na kuuwa zaidi ya watu 500!! HAKIKA kitendo hiki ni kibaya na kimekiuka haki za binaadamu.
Israeli imevuka mipaka kwa kushambulia raia wasio na hatia
Mzee unakwama sana. Palestine ilikuwepo Tangu miaka ya BC. Kama unataka kuijua Palestine vizuri soma kuhusuBasi ni wazi hujui tofauti kati ya historical fact na propaganda.
Palestina haijawahi kuwa nchi katika maana ya sasa kama ilivyo Israeli. (YOU MAY LISTEN AGAIN TO THE FACTS PRESENTED!)
Really? Haiwezekani? Where should they have gone? Or, stay there while they watch their avowed enemies slaughter them mercilessly?
So what? Stack them in Poland and Germany, right? I hope you're thinking!
A reasonable question should have been, ^Why Palestine and not anywhere else?^ -- an interesting topic, by the way.
Naunga mkono hojaHii kitaalam tunaiita DeFrenchnization.
We dada unavyoonekana mrembo 🤩🤩🥰🥰😋😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘Wanasema ni misfire hiyo rocket...
Yaan hamas Wana operate wakiwa kwenye mahosptal na mashule....
Unajua kusoma kweli? Rudia tena kusoma nilichoandika.Palestine ilikuwepo Tangu miaka ya BC. Kama unataka kuijua Palestine vizuri soma kuhusu
Philistia Empire.
Hali itazidi kuwa mbaya sana.Mkuu ila HAMAS na wapalestina kwa ujumla wanahitaji moja tu:
View attachment 2785382
View attachment 2785384
Kulikoni kupora na kuyakalia meneo ya watu?
Hali itazidi kuwa mbaya sana.
Ndio maana nilisema mfano US ilikaa Afghan na kutumia zaidi ya dola trilioni 2, lakini wakaja kuacha ardhi kwa Taliban, ifikie muda Israel ijitathmini.Japo issue ilikuwa rahisi: "kwenda haki bin haki."
* Jana imetokea sintofahamu. Hospitali ya Kikristo huko Gaza ililipuliwa na watu zaidi ya 800 kupoteza maisha wakiwemo wanawake na watoto. Hamas wamesema Israel waliilipua, Israel wakasema hawahusiki na wamtoa video ikionyesha rocket ya Hamas ikikosa muelekeo na kwenda kulipua hospitali hiyo. Nao Islamic Jihad wamekanusha kuhusika na shambulio hilo.
* Rais wa Marekani, Joe Biden awasili Israel.
* Putin awaomba Israel waachie picha ya satalaiti kuionyesha dunia kwamba kweli hawahusiki na shambulio hilo.
* Israel yanasa sauti ya mawasiliano ya Hamas kuhusika na shambulio la hospitali.
* Marekani yaruhusu wafanyakazi wasio wa kidemokrasia kuondoka Lebanon
* Jeshi la Israel lawataka wakazi wa Kusini mwa Gaza kuhamia Kaskazini.
* Hamas wasema hawana bomu kubwa namna hiyo kulipua hospitali.
* Hamas wasema wapo tayari kuwaachia mateka wote endapo Israel atasitisha kuipiga Gaza. Kumbuka wanaendelea kuipiga ili mateka wao waachiwe.
* Hezbollah wanasema wamekishambulia kifaru cha israel mpakani mwa Lebanon.
* Mfalme wa Jordan, Abdullah II amesema hatoruhusu Wapalestina kuingia nchini mwake. Hiyo ni baada ya Misri kuwakataa pia.
* Balozi wa palestina nchini Japan anasema hospitali hiyo ilipokea onyo kutoka Israel kabla ya shambulio.
KWA TANZANIA: Idadi ya makanisa na misikiti ni mingi kuliko viwanda. Wakristo wakijikita Waisraeli, waislamu wakijikuta Wapalestina. Dini zimeshika hatamu nchini kuliko maendeleo. Mtu anajua biblia na quran kuliko katiba.
Hivyo ni vyanzo vyangu vya taarifa... unaweza kuleta taarifa ya vyanzo vyako pia.