LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wewe ni mpumbavu, unashabikia vita? Umewahi kuwaona wahanga wa vita? Au yanayoendelea uwanja wa vita wanavyoteseka wasio na hatia?

Imagine hapo ulipo upoteze kila kitu chako na unaowapenda!

Popote kwenye vita ni kuombea iishe, vita sio sinema, watu wanaumia na kupoteza maisha.
 
Bado haikupi wewe uhalali wa kushabikia vifo na uharibifu wa maisha kwa wengine.

Shida ilianza pale waislam walivyosapot amas sikupendi. nikajiweka upande wa waliochokozwa wajilinde, sikujua kama watakuja kufanya haya ya sasa.

Ndomana nimetoa pole kwa waislam wote waliopongeza uvamizi
 
Bahati mbaya wamo wanaokufa bila hatia. Lakini,nimesoma stori kwamba mwaka 2007, HAMAS, walikuwa wakirusha watu kutoka gorofani wa chamia cha Yasser Alafat.
Binafsi,lile genge lilalojiita UN, lina haja ya kugawa ile ardhi ½ kwa Israel na ½ kwa Palestina. Wawe wayahudi,wawe wa Palestina wote wana haki ya kuishi
 
Wewe ni mpumbavu, unashabikia vita? Umewahi kuwaona wahanga wa vita? Au yanayoendelea uwanja wa vita wanavyoteseka wasio na hatia?
Imagine hapo ulipo upoteze kila kitu chako na unaowapenda!

Popote kwenye vita ni kuombea iishe, vita sio sinema, watu wanaumia na kupoteza maisha.
Wapi ameshabikia?
 
Ndugu zangu.

Kwa kweli wayahudi wamedhamiria kuiondoa Amas katika uso wa Dunia.

Gaza inaenda kubadilika na kuwa kifusi.

Natoa pole kwa wapalestina na Waislam wote duniani. Allah awalinde wafuasi wake.
Marekani kapeleka meli mbili zimejaa ndege vita na ndege 45 za silaha na Biden kamwambia netanyahuu tupo pamoja nawe hakikisha hawa hammas wanaisha usifanye makosa waliyofanya marekani September 11

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom