Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpumbavu, unashabikia vita? Umewahi kuwaona wahanga wa vita? Au yanayoendelea uwanja wa vita wanavyoteseka wasio na hatia...
vita sio ya kushabikia kabisa mpaka nawaza au hawa Israeli walifanya maksudi ili Hamas awachokoze wapate kisingizio cha kuanzisha vita !
Bado haikupi wewe uhalali wa kushabikia vifo na uharibifu wa maisha kwa wengine.Ila si waliyataka wao lakini
Takribani 5000 wapalestina wamekufa na nusu ya hao ni watoto
Bado haikupi wewe uhalali wa kushabikia vifo na uharibifu wa maisha kwa wengine.
Uliishiwa kabisa mambo ya kushabikia?
Nimegundua nipo kwenye mjadala na mtu mwenye ufahamu finyu wa mambo.Shida ilianza pale waislam walivyosapot amas sikupendi. nikajiweka upande wa waliochokozwa wajilinde, sikujua kama watakuja kufanya haya ya sasa.
Ndomana nimetoa pole kwa waislam wote waliopongeza uvamizi
Nimegundua nipo kwenye mjadala na mtu mwenye ufahamu finyu wa mambo.
Kwaheri
Ukitumia bunduki kuua nzi, wewe ndio mwenye matatizo ya akili; kamwe si ujasiri!
HAMASAmas ni nzi?
Wapi ameshabikia?Wewe ni mpumbavu, unashabikia vita? Umewahi kuwaona wahanga wa vita? Au yanayoendelea uwanja wa vita wanavyoteseka wasio na hatia?
Imagine hapo ulipo upoteze kila kitu chako na unaowapenda!
Popote kwenye vita ni kuombea iishe, vita sio sinema, watu wanaumia na kupoteza maisha.
Marekani kapeleka meli mbili zimejaa ndege vita na ndege 45 za silaha na Biden kamwambia netanyahuu tupo pamoja nawe hakikisha hawa hammas wanaisha usifanye makosa waliyofanya marekani September 11Ndugu zangu.
Kwa kweli wayahudi wamedhamiria kuiondoa Amas katika uso wa Dunia.
Gaza inaenda kubadilika na kuwa kifusi.
Natoa pole kwa wapalestina na Waislam wote duniani. Allah awalinde wafuasi wake.