LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
A quick analysis of tonight's events in Gaza:
Israeli army tanks attempted to penetrate the Gaza border but failed and suffered heavy losses, according to several Hebrew sources.

Also, some Israeli tanks entered the border, but were ambushed, forcing the occupation forces to retreat. Until this moment, Israel has lost more than 20 tanks in Gaza
😂😂😂 20 tanks
 
45E51E4C-32EB-4FE3-AE5F-13303C47C195.jpeg
2A9A13ED-46A9-4541-9F1A-98E8D7319E84.jpeg
 
yaani pamoja na kwamba London leo watu wamejaa barabarani, na ni wakristo, ufaransa wamejaa, dunia nzima ya kikristo imejaa barabarani, ila kuna jamaa hapahapa ametoa kauli atu "tuwatetee wapalestina kwasababu ni ndugu zetu katika imani" akimaanisha watetewe kwasababu ni waislam wenzake, maanake wasio waislam ambao pia wanawapigania wapalestina, sio ndugu zake.
Uislamu ni dini ya kibaguzi pia ni dini yenye matendo mengi ya kishetani
 
Baada ya ahadi za muda mrefu kwamba Israel ikiingia Gaza na wao watarudisha mapigo.Leo kundi hilo lenye silaha za kisasa zaidi kushinda Hamas wameanza vita na Israel.

Tangu Israel ianze kushambulia kusini mwa Lebanon karibu askari 50 wa kundi hilo wameuwawa bila kuonesha kurudisha mapigo.

Muda mfupi uliopita jeshi la idf limesema limerushiwa kombora la kutungulia ndege kwenye ndege zao sambamba na mengine kadhaa yaliyoelekezwa katikati ya nchi.

Inakumbukwa mnamo mwaka 2006 HizbuLah waliweza kulitia hasara kubwa jeshi la Israel na hatimae vita hivyo kusitishwa.
 
[emoji1193] Hamas has agreed 8 hostages of Russian citizenship back to the Russian Federation.

[emoji635] This request was accepted after President Putin immediately sent 27 tons of aid to Gaza at the start of the crisis.
 
Sasa mbona majirani zao waarabu wanawakataa hao wapalestina? Wanaungwaje mkono sasa?

Mfano ilipozuka vita vya Ukraine mataifa mengi yaliwapokea wa ukraine na kuwapa hifadhi ila kwa Palestina hakuna anaetaka kuwapokea. Wanaungwaje mkono kwa hiyo 78%
Wapalestina hao ni watu wenye hulka ya ukorofi na ndio maana hawatakiwi hata na waarabu wenzao, yaani ni watu tabu sana.
 
Hao magaidi mbona hawataki kuwaachilia hata wale watanzania na mateka wote kwa ujumla, je wanafikiri kuwazuilia mataka kutawasaidiaje kufanikisha ndoto yao
 
Back
Top Bottom