LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

Attachments

  • 04927EAD-4256-4210-A2A2-838BC3047EBF.jpeg
    04927EAD-4256-4210-A2A2-838BC3047EBF.jpeg
    46.8 KB · Views: 2
Naamka usiku wa manane kuwambea dua waislam wa Palestina.
Pia familia yangu yote niamsha kufanya dua maalum kuwapombea Palestina wanaonyanganywa ardhi yao.
Dua ni silaha kwa adui
View attachment 2796545
Maralia umeshakunywa banana nn
???
Kuwambea ndio kitu gani 🤣🤣🤣🤣🤣
NB: VP SI ULISEMA IDF WANAOGOPA KUINGIA GAZA AU???
 
su wawafuate huko huko hospitali wawachomoe? wanaogopa nini na Mungu wao anawalinda?
Kwa mujibu wa Israel ni kuwa, yoyote anamsaidia na kumficha gaidi naye ni gaidi tu, pale pale alipo atapigwa na kitu kizito akafe na gaidi mwenzake. Kila kitu kina gharama, na gharama ya kumtunza na kumficha gaidi mwisho huwa ni kifo.
 
Tatizo la hao mashoga mnaowatetea wanaua raia wasio na hatia walitakiwa wapigane na hao Hamas wenyewe sio kulipua grocery ,holy houses,hospitals,bakery ndio kuna Hamas huko?
 

Attachments

  • EC8ECDDB-44B6-45D9-9574-6E0A2DAFA25B.jpeg
    EC8ECDDB-44B6-45D9-9574-6E0A2DAFA25B.jpeg
    46.8 KB · Views: 3
Tatizo la hao mashoga mnaowatetea wanaua raia wasio na hatia walitakiwa wapigane na hao Hamas wenyewe sio kulipua grocery ,holy houses,hospitals,bakery ndio kuna Hamas huko?
Washauri hamas waache mbinu za kishoga za kujificha sehemu hizo na waache kujificha nyuma ya raia na wavae sare za kijeshi kama wao wanaume kweli wa uwanja wa vita.
NB: DAWA YA MOTO NI MOTO NA AKUANZAE MMALIZE.
 
Back
Top Bottom