LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kwahiyo hii ndio reference Yako? Endeleeni kujifariji, na Wahuni wa Hamas baada ya kuona maji yamefika shingoni wametoa video ya mateka wa3 eti wanalaumu ground oper6ya IDF Gaza, hizi ni dalili za kutapatapa mwisho wao umewadia wapumbavu wakubwa.

Na yule msichana waliyemteka tarehe 7 wakaanza kumtembeza mitaa ya Gaza akiwa uchi wa mnyama huku wakishangilia kama mahayawani Leo amekuwa confirmed dead.
Israel washafurushwa halo salah din
 
Wanaume wanavaa hijabu kuficha nyuso, wanaume wanajificha kwenye mahandaki? Endelea kufuatilia taratibu watu washaingia katikat ya Gaza yajayo yanahudhunisha sana, mlikuwa mnasema mbona hawaiingii Gaza wanaogopa nini tukawaambia ni suala la muda tu, sasa wanaume halisi wameingia Gaza baada ya siku 2, 3 tutapata matokeo.
Mkiambiwa wacheni kuota mnakula chakula kwa kutazama picture mnasema tulidhani chakula, hivi we unaijua barabara ya Salah Din
 
1698678898442.png
 
Sasa wewe na Aljazeera tukuamini nani au ww uko eneo la vita.

Hizo za habari za kuidhibiti barabara ni za tangu mida ya saa nne hata Ar Jazeera imeilipoti,na hii habari ya kurudishwa nyuma ni habari ya saa 8 labda kama wamerudi na kuidhibiti sasa hivi.
Wewe ni muongo hakuna taarifa hiyo aljazeera, aljazeera hakuna ya kiswahili sawa, hadi sasa IDF wameuteka barabara ya salah al din na wnekata kabisa mawasiliano na gaza kusini, kuwa muelewa shekhe uchwara
 
Kwahiyo hii ndio reference Yako? Endeleeni kujifariji, na Wahuni wa Hamas baada ya kuona maji yamefika shingoni wametoa video ya mateka wa3 eti wanalaumu ground oper6ya IDF Gaza, hizi ni dalili za kutapatapa mwisho wao umewadia wapumbavu wakubwa.

Na yule msichana waliyemteka tarehe 7 wakaanza kumtembeza mitaa ya Gaza akiwa uchi wa mnyama huku wakishangilia kama mahayawani Leo amekuwa confirmed dead.
Hayo mambo ya kujifariji umeyaongea ww mm naleta habari kama ilivyo na udhibitisho nime kuwekea kama hutaki acha.
Kuhusu mateka kufa nyinyi si ndo mnashangilia Israel kurusha mabomu hovyo sasa mnashangaa nn?
 
Ktk kitu kinachowaumiza wasiokuwa waislam ni mshikamano wa waislam. Hii inawauma sana na hata wao wanataka wawe lkn hawawezi.
Kitu hichi kinawaumiza.

Haya ni machache kati ya mengi
1. Urusi: waislam wamewashambulia mayahudi uwanja ndege
2. Canada. Waziri ashambuliwa msikitini
3. India: waislam wamezuia wasioneshe mapenzi kwa waislam wenzao Palestina
View attachment 2798067
Shenzi type na ujinga, udini na ugaidi ngoja mt***be na IDF
kwahiyo unataka tuseme Rais muislam Samia, waziri wa mambo ya nje Mkristo Januari Makamba, nk et
Udini hauna nafasi kwa wakristo, udini una nafasi kwa boko haram, alqaida, ISIS, Hamas, nk na sio kwa wakristo ok
 
View: https://youtu.be/9Dl1KnNS9ZM?si=9kWtKuTRrXoWvh8d

Vinaunguzwa hivyo vilivyo sogea karibu na barabara ya Salah Din, safi sana Hamasi piga hao wenye lana

Hao wataishia kuvunja majumba tu ndio ilivyo mishoga haiwezi kupambana na wanaume.

Ugonjwa wa akili kwa huyu kijana, et apigwe Hamas kulia alie yeye huku kazuramimba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama siyo uchizi ni nini hiki??

Mashoga ni kote kote au nyie misikitini mnakihitaje🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna wapenda nyuma kama mashekhe bwashee hata kwetu huku bongo wenye tabia hizo nyie misikitini kwenu huko
 
Wewe ni muongo hakuna taarifa hiyo aljazeera, aljazeera hakuna ya kiswahili sawa, hadi sasa IDF wameuteka barabara ya salah al din na wnekata kabisa mawasiliano na gaza kusini, kuwa muelewa shekhe uchwara
Punguza ushamba mm hiyo habari mm ndo nimeibadilisha kutoka kwenye kiswahili kwenda kiingereza kwa kutumia app ya kutafsiri lugha ili kila mtu aelewe.

Hata BBC sasa hivi wameripoti ya kuwa hiyo barabara iko wazi kwa sasa.

Alafu ww siulisha tuambia huna upande sasa inakuweje unaumia Wayahudi wakipewa kipigo?
 
Habari za karibuni kutoka televisheni ya Aljazeera zimesema wanamgambo wa Hamas wametangaza kuwa vifaru na matingatinga ya Israel vimelazimika kurudi nyuma baada ya mapigano baina yao.

Taarifa hii itakuwa inaendana na zile taarifa za mashambulizi yaliyoitwa ya awamu ya pili ambapo vifaru zaidi ya ishirini vilioneshwa vikipigwa na kuungua kutoka katika makombora ya Hamas

Taarifa hiyo ya Hamas bado haijathibitishwa na jeshi la Idf.Hata hivyo jeshi hili limekiri kuwa hapo juzi kulikuwa na mapambano na wanamgambo wa Hamas ndani ya Israel maeneo ya Erez ikiwa ni wiki ya tatu tangu shambulio la kushtukiza la Oktoba 7
Rudi aljazeera uone habari walioweika saizi, wamethibitisha IDF kuteka barabara ya salah al din na hakuna kumove north to south na IDF wanazidi kuingia ndani zaidi
 
Punguza ushamba mm hiyo habari mm ndo nimeibadilisha kutoka kwenye kiswahili kwenda kiingereza kwa kutumia app ya kutafsiri lugha ili kila mtu aelewe.

Hata BBC sasa hivi wameripoti ya kuwa hiyo barabara iko wazi kwa sasa.

Alafu ww siulisha tuambia huna upande sasa inakuweje unaumia Wayahudi wakipewa kipigo?
kwanini uitafsiri umeweuka kwa kipigo cha Gaza pole🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ugonjwa wa akili kwa huyu kijana, et apigwe Hamas kulia alie yeye huku kazuramimba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama siyo uchizi ni nini hiki??

Mashoga ni kote kote au nyie misikitini mnakihitaje🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna wapenda nyuma kama mashekhe bwashee hata kwetu huku bongo wenye tabia hizo nyie misikitini kwenu huko
Uchizi wangu haukuzidi wewe, kwanza unamini Israel anapigana vita na numbers si professional ungekuwa mzima kichwani usinge wahesabu watoto ni wanajeshi wa HamasI.

Ungekuwa mzima usinge wa hesabu wanawake ni wanajeshi wa Hamasi. ungekuwa si chizi using hesabu majumba na Hospital ni kambi za jeshi na zimevunjwa hutujaona hata bastola.

Ungekuwa mzima usinge sema Israel ni taifa teule, dalili unaonyesha unapenda sana ushoga undele kwenya taifa teule

Poleni sana mmeisha uwa watoto na wanawake na wagonjwa wangapi?

Kwa hio imebaki kuhesabu mbuzi na ngombe tu ili muwe mnaidadi nyingi au sio.

Hivi ndoa za ushoga zinafungwa kanisani au misikitini

Swali ni moja kuna kifaru cha Israel kimeingia Gaza?
Taifa teule siwangeisha fika Gaza leo ya ngapi vile, si wanataka kuwamaliza Hamasi, mimi naona Hamasi hakuna hata silaha yake imevunjwa na hayo maboom mlio Rusha mabillion yamepotea kuwauwa watoto,wanawake,wagonjwa humkuwacha hata ambulance

Sijui aibu mtaificha wapi matekwa bado Hamasi kawashikilia, Majenarali bado kawashikilia na bado mnapewa kipigo kipo pale pale kila siku mnarushiwa mvua za missiles.

Malaika wa taifa teule hata chakula, maji, umeme kawafungia watu wa Gaza, hivi hao wanaoilinda Israel kama mnadai ndio malaika wa taifa teule basi huyo atakuwa mungu wa bibilia si Mungu wa haki 😄
 
Ktk kitu kinachowaumiza wasiokuwa waislam ni mshikamano wa waislam. Hii inawauma sana na hata wao wanataka wawe lkn hawawezi.
Kitu hichi kinawaumiza.

Haya ni machache kati ya mengi
1. Urusi: waislam wamewashambulia mayahudi uwanja ndege
2. Canada. Waziri ashambuliwa msikitini
3. India: waislam wamezuia wasioneshe mapenzi kwa waislam wenzao Palestina
View attachment 2798067
I stand with Israel
 
Hii ndo hali ilomkuta kiongozi wa Israel Ariel Sharon kabla ya kufariki kwake Allah alimpa ugonjwa wa AJABU sanaa

Ole wenu madhwalimu

Mwenye AKILI huzingatia
 
1698731350146.png

Ktk video inayosambaa mitandao mateka wa Isreal waomba msamaha.
Wamesema wanajua kwamba serekali yao inawaua wa Palestina miaka yote na inawakandamiza sana.
Wao wameomba msamaha kwa Ukatili wanaofanyia.
Wamewapongeza Hamas kwa ubinaadam na utu wanaounyesha ktk kipindi chote wanachoshikiliwa
Wamesema hapo mwanzo waliaminishwa kwamba wauchukue uislamu na waislam kwa jumla lkn wanaona utafauti mkubwa.

QURAN IPO WAZI
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
 
Back
Top Bottom