LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamas walivyosema kwamba Gaza itakua ni kaburi la Wanajeshi wa Israel walikua hawatanii..Shambulizi moja tu wameuwa wanajeshi 67 wa Israel

#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.

Source:Israel channel 14

Israeli media and Military sources confirming the Ambush but denied any captured soldier

As a result of the attacks of the Al-Qassam brigade, a unit of the Givati Brigade had to withdraw from the north of Gaza —
Palestinian Source

Source:Israel channel 14,Palestinian Source.

Verfied by: War intel page on XView attachment 2799534

UPDATE: Unconfirmed report.......Hii habari bado sijajiridhisha,nilikua na haraka sana kuipost, huwa najitahidi sana kuleta habari za kweli humu na huwa nahakikisha naleta habari za uhakika kabisa!!Na hii habari niliitoa kwenye source ya uhakika kabisa lakini mleta habari amesema binafsi kuwa anaifanyia uchunguzi kwanza na akaifuta!!....Hii ni hadi nijiridhishe kwanza nilikua fasta sana kupost hii habari humu, so hadi nijiridhishe....Mimi sio kama kina Mk254 ambaye habari zake 95% anazoleta humu ni za uongo!!..........
Sasa unamshambulia mwenzako kua analeta habari zisizothibitika na huku na wewe pia unatoa habari zisizothibitika pia.
TUAMBIE TOKA VITA IANZE NI WANAJESHI WANGAPI WA ISRAEL WAMEKUFA NA WANAJESHI WANGAPI WA HAMAS WAMEKUFA?
 
Aisee hawa Muqawama wa Hamas ni balaa yaani unaambiwa wako fit kinoma.Israel hajafanikiwa kuua hata mmoja anabakia kuua raia na watoto wasio na hatia.Allahu akbar!
🤣🤣🤣🤣🤣 MKUU UNATUPANGA SASA NA ALLAH AKBAR YAKO 🤣🤣🤣🤣 YAANI WANAJESHI WA ISRAEL HAWAJAFANIKIWA KUUA MEMBWR WA HAMASI.
NB: HIVI UNAJUA ASILIMIA 95 YA MEMBER WA HAMAS WANAVAA KIRAIA KWA KUOGOPA KUUAWA?
 
Hamas walivyosema kwamba Gaza itakua ni kaburi la Wanajeshi wa Israel walikua hawatanii..Shambulizi moja tu wameuwa wanajeshi 67 wa Israel

#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.

Source:Israel channel 14

Israeli media and Military sources confirming the Ambush but denied any captured soldier

As a result of the attacks of the Al-Qassam brigade, a unit of the Givati Brigade had to withdraw from the north of Gaza —
Palestinian Source

Source:Israel channel 14,Palestinian Source.

Verfied by: War intel page on XView attachment 2799534

UPDATE: Unconfirmed report.......Hii habari bado sijajiridhisha,nilikua na haraka sana kuipost, huwa najitahidi sana kuleta habari za kweli humu na huwa nahakikisha naleta habari za uhakika kabisa!!Na hii habari niliitoa kwenye source ya uhakika kabisa lakini mleta habari amesema binafsi kuwa anaifanyia uchunguzi kwanza na akaifuta!!....Hii ni hadi nijiridhishe kwanza nilikua fasta sana kupost hii habari humu, so hadi nijiridhishe....Mimi sio kama kina Mk254 ambaye habari zake 95% anazoleta humu ni za uongo!!..........
WEWE SI ULISEMA HAWATAINGIA GAZA??
AU NA HILO BADO HUJATHIBITISHA? NDIO MAANA KWA SIKU UNALETA NYUZI 27 KUWAPONDEA WAYAHUDI
Screenshot_20231101-050148.png
 
Rajab allah akbarrr!!! wewe ni muongo kuna jamaa amesema kwamba ukiwa muislam hata umesoma ila ujinga ni lazma, mlijidanganya na allah akbar leo mnakipata Israel waje hadi huku kwetu kuwatafuta magaidi wapo wwngi
Muislam haijawahi kuwa mjinga na ndio maana haijawahi kuuziwa chuvi ,maji, mafuta kwa laki 2 kwa imani eti akitumia anaenda kuwa tajiri na kuondoa mikosi.

Waisilam sio wajinga kama wagaratia ambao wao wakitaka gari wanaombewa na mchungaji ila mchungaji akitaka gari waumini ndo wanamchangia.

Waisilam sio wajinga kama wagaratia ambao wakiumwa wanaenda kwa mchungaji kuombewa wapone wakati mchungaji akiumwa anaenda hospital ya gharama kupata matibabu bora.
 
Hivi Gaza watoto ndio wanaoishi? watoto ndio wenye mji Gaza? acha muawawe wajinga sana, mlipewa tangazo mkajidai et nyieni ni Hamas wacha waone na wakipate, huyu Ritz na Kimsboy hawa hawana nia njema na watu wa Gaza

Najiuliza mikwara yote ya Iran ameshindwa nini kuingia vitani? Iran ni tatizo na lengo lake ni kupunguza nguvu Israel kwa kuunda makundi ila anachokiona ni shida, Israel ni wababe ila tuwaombee watu Gaza make sio wote walienda kubaka Israel
Na bado hawajafa wakutosha
 
🤣🤣🤣🤣🤣 MKUU UNATUPANGA SASA NA ALLAH AKBAR YAKO 🤣🤣🤣🤣 YAANI WANAJESHI WA ISRAEL HAWAJAFANIKIWA KUUA MEMBWR WA HAMASI.
NB: HIVI UNAJUA ASILIMIA 95 YA MEMBER WA HAMAS WANAVAA KIRAIA KWA KUOGOPA KUUAWA?
Huo utafiti ulifanyika wapi Kimara temboni? Hawa Waisrael waeusi wanachekesha sana.
 
Huo utafiti ulifanyika wapi Kimara temboni? Hawa Waisrael waeusi wanachekesha sana.
MKUU AU HUKUONA SEPTEMBER 08 WALIKUA WANAUA WAYAHUDI NA KUPELEKA MATEKA GAZA HUKU ASILIMIA 75 YAO WAMEVAA KIRAIA.
NB: KAMA HUKUONA BAS TAZAMA AL ARABIYA TENA AU AL JAZEERA AU TV IMAN MKUU.
 
Kudos Hamas
To win this war, the head of the beast must be chopped
Screenshot_2023-10-29-20-28-28-923_com.twitter.android.jpg
 
According to Al Jazeera, Hamas allowed a large number of Israeli soldiers to enter the building and then blew it up
Mkuu kumbe according al jazeera chombo cha propaganda cha waarabu dhidi ya wayahudi.
UNADHANI IDF WANAENDA ENDA TU KAMA WAASI WA M 23???
NB: According al jazeera 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom