LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Tatizo nyinyi Waislam kila kitu mlikuja kudanganywa na Mtume, Mungu wa kweli Yahweh nyinyi Mtume akawambia na Allah, ambaye ni mungu mpagani, baba wa Mtume, alikuwa mpagani akiwa na Jina Abdullah (hapo pana ALLAH akiwa ni mungu wake wa kipagani)
Yesu kwa kiarabu ni Yesuha Mtume aliyekuja miaka 600 akawadangaya ati ni ISSAH, tena ati baba yake ni Imran (wakati Imran alikuwa baba wa mussa)
Yesu alikufa na kufufuka nyinyi Mtume akawadangaya ati aliyetundikwa na kufa ni mtu mwingine. Mtume pia akawadangaya yeye ndiye Mtume wa mwisho, na hiyo ikimaanisha hata ubara, wakati huo huo akijichanganya kuwa ISSAH alikuwa PURE, NA KWAMBA ISSAH ALINYAKULIWA MBINGUNI AMBAKO MBAKA SASA YUKO HAI NA MUNGU; NA NI ISSAH NDIYO ATARUDI SIKU YA KIYAMA. Yeye Mtume alikufa na mpaka mwili ukaanza kuoza. sasa hapo hajiulizi tu kuwa nani YUKO juu ya mwingine.
Yaani mmejaa Uongo na hadithi za kuunga unga tu. Sishangai kwa sababu mnamtumikia yule Shetani MKUBWA mwenyewe- Allah, ambaye ndiyo alimdanganya Ibilisi Quran 15:39
Hapa sio mahali pake lakini umeandika mambo ya ajabu kabisa, kwani mkuu torati na injili vilikuja kwa lugha ya kiarabu?! maana ya Allah unaijua?! au unatanguliza chuki tu mbele, nabii issa amani iwe juu yake atakuja kabla ya siku ya qiyamah na hatokuja na sheria yake bali atakuja kufuata kilichopo sasa hivi, na usichokijua kwenye injili na torati kuna bishara ya kuja mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake, na nabii issa aliwaeleza wanafunzi wake kuwa atakuja mtume baada yake na jina lake ni ahmad.

Kama unayo injili tizama utakuta maneno hayo.
 
Ogopa kupigana na Watu ambao hawaogopi kifo tena.
Mwanamgambo wa Hamas abeba bomu na kulitega kwenye kifaru cha IDF.
Duniani hakuna watu wakatili kama Wayahudi, hadi Waislam wanaamini kuna Malaika mtoa roho anaitwa Israel
 
IDF Chief of Staff Halevi: If Hezbollah drags us into fighting, the IDF will deliver a fire blow that has never been seen before in the world.
Nawatamani hao Hezbollah waje, vita ipigwe iishe tujue moja. Sio leo Israel wapigane na Hamas na siku zijazo wapigane na Hezbollah. Haya makundi yapigwe Iran ibaki yenyewe.
Israeli Defense Minister Yoav Gallant: We have unique solutions to reach all the tunnels and dismantle them underground, we are ready to do it
20231103_154433.jpg

Sijui ni kwa gesi ya sumu, flamethrowers, mafuriko au mabomu. Maandaki yatapigwa.
"We have powerful firepower in our hands. We will know how to use it against any enemy that challenges the State of Israel." Israel Air Force chief, General Tomer Bar
 
Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.
Unaniangusha asee wewe inabidi uwe t34 kwa sasa😂😂
 
Mtaokoteza mapicha ila sisi tunafuatilia live, na kuna mapicha ukiangalia kule Telegram aisei utalipuka mabomu....
Hivi leo mliandamana na mikanzu yenu?
Niunge huko telegram mkuu
 
IDF Chief of Staff Halevi: If Hezbollah drags us into fighting, the IDF will deliver a fire blow that has never been seen before in the world.
Nawatamani hao Hezbollah waje, vita ipigwe iishe tujue moja. Sio leo Israel wapigane na Hamas na siku zijazo wapigane na Hezbollah. Haya makundi yapigwe Iran ibaki yenyewe.
Israeli Defense Minister Yoav Gallant: We have unique solutions to reach all the tunnels and dismantle them underground, we are ready to do itView attachment 2802510
Sijui ni kwa gesi ya sumu, flamethrowers, mafuriko au mabomu. Maandaki yatapigwa.
"We have powerful firepower in our hands. We will know how to use it against any enemy that challenges the State of Israel." Israel Air Force chief, General Tomer Bar
Hili jamaa Lina sura ya kazi sana Hamas wameingia choo Cha manyampara lazima washughulikiwe vilivyo.
 
Hapa sio mahali pake lakini umeandika mambo ya ajabu kabisa, kwani mkuu torati na injili vilikuja kwa lugha ya kiarabu?! maana ya Allah unaijua?! au unatanguliza chuki tu mbele, nabii issa amani iwe juu yake atakuja kabla ya siku ya qiyamah na hatokuja na sheria yake bali atakuja kufuata kilichopo sasa hivi, na usichokijua kwenye injili na torati kuna bishara ya kuja mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake, na nabii issa aliwaeleza wanafunzi wake kuwa atakuja mtume baada yake na jina lake ni ahmad.

Kama unayo injili tizama utakuta maneno hayo.

Wewe hata Quran yenu unaonyesha hauijui. Halafu Mwarabu alipowaweza ni pale anapotafsiri anawaficha maneno mengine ili mbaki gizani. Kama kweli wewe unataka kujua kweli ingia kwenye simu Yako fungus sunnah.com halafu soma Aya zifuatazo. Uzuri kwenye hiyo website ambayo ni ya kwenu wenyewe, unaweza kuisikiliza maneno ya kiarabu yaliyoandikwa uka compare na tafsiri yake kwa kiingereza na vile vile unaweza copy hilo Neno la Kiarabu na kuendelea kwenye Google translation ukapata maana halisi
Quran
Aya 19:15 & 19:33 soma one inasema nini kuhusu ISSA
Halafu linganisha na 3:55 ambapo baada ya kuona hiyo Aya itapingana na mafundisho ya maimamu wenu mkatafsri isivyo
Hilo Neno lililokuwa highlighted tafsiri yake sahihi deseaced= nitakufanya ufe
[A
Screenshot_20231103-160333~2.png
 
Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.

Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!

Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon

Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.

Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo

Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Bado tu tamko Mkuu?
 
Kuna watu wengine ni janga Kwa kweli naangalia live hapa raia wa Lebanon wakiwemo wakina mama, vikongwe na watoto wadogo wamekusanyika eti wanasubiri tamko la Kiongoz wa Hezbollah hapo baadae wenyewe wanadai Wana Imani jamaa atatangaza kuingia vitani rasmi na Israel sasa unabaki kujiuliza hivi Hawa Wana akili kweli? Maana ikitokea hiyo vita yanageuka Yale Yale ya Gaza raia wasiokuwa na hatia kuuliwa, inasikitisha sana ningekuwa ndio mm nimeona hizi ishara natokmea zangu mbali kabisa na familia yangu.
 
HEZBOLLAH wakifa wewe unaumia nini? Toka loni kafiri akawa na huruma na Waislam😂
 
Ww jamaa ni jinga sana, kwa kukusaidia ni kwamba Hamas wanawatumia hao raia kama ngao, wamejenga mahandaki kwenye ofisi za umma zikiwemo hospital na shule na humo ndimo wanavurumishia makombora Yao wakat mwingine sasa unataka IDF wafanyajekama sio kugumua hiyo miundombinu na uzuri Lilishatolewa onyo tena sio mara moja kwamba jamani ondokeni maeneo hayo ni hatarishi ila raia kwa kuwa wanawapenda sana Hamas kuliko familia zao wameamua kubaki kuwakinga Hamas ni upumbavu wa Hali ya juu.
 
HEZBOLLAH wakifa wewe unaumia nini? Toka loni kafiri akawa na huruma na Waislam😂
Hizbollah wakifa mm siwaonei huruma hata kidgo ila wanapokufa raia wasiokuwa wanamgambo lazima niumie, Gaza Kila nikiona watoto, kina mama , vikongwe vinauliwa na IDF kwa ujinga wa watu wachache nasoneneka sana ni roho ya kawaida tu ya kibinadamu.
 
Back
Top Bottom