Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Hapa sio mahali pake lakini umeandika mambo ya ajabu kabisa, kwani mkuu torati na injili vilikuja kwa lugha ya kiarabu?! maana ya Allah unaijua?! au unatanguliza chuki tu mbele, nabii issa amani iwe juu yake atakuja kabla ya siku ya qiyamah na hatokuja na sheria yake bali atakuja kufuata kilichopo sasa hivi, na usichokijua kwenye injili na torati kuna bishara ya kuja mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake, na nabii issa aliwaeleza wanafunzi wake kuwa atakuja mtume baada yake na jina lake ni ahmad.Tatizo nyinyi Waislam kila kitu mlikuja kudanganywa na Mtume, Mungu wa kweli Yahweh nyinyi Mtume akawambia na Allah, ambaye ni mungu mpagani, baba wa Mtume, alikuwa mpagani akiwa na Jina Abdullah (hapo pana ALLAH akiwa ni mungu wake wa kipagani)
Yesu kwa kiarabu ni Yesuha Mtume aliyekuja miaka 600 akawadangaya ati ni ISSAH, tena ati baba yake ni Imran (wakati Imran alikuwa baba wa mussa)
Yesu alikufa na kufufuka nyinyi Mtume akawadangaya ati aliyetundikwa na kufa ni mtu mwingine. Mtume pia akawadangaya yeye ndiye Mtume wa mwisho, na hiyo ikimaanisha hata ubara, wakati huo huo akijichanganya kuwa ISSAH alikuwa PURE, NA KWAMBA ISSAH ALINYAKULIWA MBINGUNI AMBAKO MBAKA SASA YUKO HAI NA MUNGU; NA NI ISSAH NDIYO ATARUDI SIKU YA KIYAMA. Yeye Mtume alikufa na mpaka mwili ukaanza kuoza. sasa hapo hajiulizi tu kuwa nani YUKO juu ya mwingine.
Yaani mmejaa Uongo na hadithi za kuunga unga tu. Sishangai kwa sababu mnamtumikia yule Shetani MKUBWA mwenyewe- Allah, ambaye ndiyo alimdanganya Ibilisi Quran 15:39
Kama unayo injili tizama utakuta maneno hayo.