Kwani South walituhumiwa kusaidia vita ya Urusi kwa kutoa silaha. Au kufanya mazungumzo na kuendeleza mahusiano ya kidiplomasia waziwazi.
Sasa si wapigane nalo hilo jeshi hapo mpakani kama walivyotoa ahadi.
Na ulitaka Navy ya Israel iende wapi wakati wa vita. Ni ama ichunge upande wa Misri au upande wa Lebanon. Tufanye kweli nusu imechunga Lebanon, kuna shida? Na hilo halizuii Navy kushiriki operation pale Gaza. Pounding kila siku inafanyika na warships.
Basi Israel haijiwezi vamia sasa visingizio vya nini. Haina jeshi kubwa tumekubali, ni ombaomba tumekubali. Aya mnaogopa ombaomba na adui dhaifu?
Leta hao Algeria unaosema, leta Hamas, Hezbollah, Iran, Jihad wa pale Syria changanya wote wapigane na ombaomba Israel.
Kinachokuuma nini Israel ikitafuta washirika wake, mbona Hamas inao washirika pia.
Kipigo cha mbwa koko kinasubiriwa kwa hao wanamgambo wanaodekezwa. Hezbollah ikiishinda Israel vitani nipigwe ban ya maisha. Waite hata mods. Mlizoea ile 2006 mnapigwa kwa kuogopa raia, sasa hivi Israel itabomoa hata hizo hospitali zenu endapo zina makazi ya wanyang'anyi.
Hamas hii hapa na ramani yao ya mahandaki ya 2021 waliyochora Israel. Mashambulizi yanayofanywa Kaskazini mwa Gaza ni kuharibu mahandaki. North Gaza ndio kama nusu ya uwezo mzima wa Hamas na imezingirwa. Sasa na Hezbollah ilete makombora yake Lebanon warudi Middle Stone Age
View attachment 2802837