RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Mungu kaitia Israeli mikononi mwa waarabu.
Kwasababu ya uovu wao ikiwemo sodomy.
Kwasababu ya uovu wao ikiwemo sodomy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balfour declaration inasemaje, Palestine ni nchi au eneo!?..nini tofauti ya nchi na eneo!?..Tanzania/Tanganyika haikuwepo (sovereign state)kabla ya mjerumani kuja,wakija wakongo,wakawa wanaongea kiswahili au kisukuma na kudai hapa ni kwao,itakua halali!?..Hebrews waliokuwepo Palestine wakiishi vizuri na waarabu na walikua minorities na hawana shida na waarabu na wanapinga uzayuni wa akina netanyahu,netanyahu kuongea kiebrania na kujiita myahudi/Israel hakuhalalishi netanyahu kuwa kweli muebrania,Kama wewe unavyoongea kiingereza haimaanishi wewe muingerezaIran haiwezi kupata chochote Tanzania kwa sababu, kwa mujibu wa sheria ya kimataifa, Tanzania ni sovereign state. Hata kabla ya uhuru wa Tanganyika, Iran haikuwahi kuwa na mandate ya eneo lolote lile lililokuwa likikaliwa na wazawa wenye asili ya Tanganyika.
Hiyo ni tofauti na "Palestine" ambayo haikuwahi kuwa nchi huru kabla ya 1947, vilevile hata sasa hivi hakuna nchi huru inayoitwa "Palestina" inayohusisha eneo la Israel ya sasa.
Sarafu uliyoileta hapa ni sarafu ya Mamlaka ya Palestina (Palestine Mandate); mamlaka ambayo iliwekwa na Mwingereza chini ya masharti ya League of Nations. Hiyo sarafu iliwekwa na Mwingereza mwenyewe mwaka 1927 na haina uhusiano wowote na 'utaifa' wa kile kinachofahamika kama "Palestine".
Bahati nzuri ni kwamba, hiyo sarafu uliyoileta inathibitisha hoja yangu kwamba eneo ambalo linafahamika kama "Palestine" kwenye hiyo ramani ni eneo lililokuwa likikaliwa na watu wenye jamii mchanganyiko na sio milki au mali ya jamii moja pekee.
Sarafu ambayo Mwingereza aliwapatia "Wapalestina" wa kipindi kile ina alama ya utambulisho na maandishi yenye lugha tatu mchanganyiko ambazo ni Kiarabu, Kiingereza na Kiebrania. Maana yake ni kuwa, hukukuwa na taifa moja la Kiarabu lililokuwa likiitwa "Palestina".
Hii "Palestina" inayofikiriwa na kuzungumzwa sasa hivi kama "nchi huru ya Waarabu wa Kipalestina" ni tofauti kabisa na "Palestine" iliyokuwepo kabla ya 1947.
Israel Imebakia majivu dah mnyaaz mungu noma kwel dua na maandamano yamesaidiaTaarifa kupitia vyombo vya habari vya Isreal mlipuko mkubwa umetokea Tel Aviv .
Tunaendelea kufatilia zaidi
Israeli media: Explosions were heard in Tel Aviv, reports of missiles attack
Malaria na ustaadh Alwaz, hivi mnafikiri nyie ndio mnaofuatilia huu mtanange pekee yenu? mbna mna mambo ya kijinga hivi, acheni kumbe Israel awashughulikie.jana hizbullah walifanya vitu vyao miji ya karibu na mpaka kwa kutumia kombora jipya na droni.Leo huenda ni zamu ya Tel Aviv.Fuatilia utujuvye,
Yeye kaweka toka kwenye vyanzo vyake,ukiona vinakuwasha weka taarifa nawe zinazokupendeza,hutokosa wafuasi, tofauti na hapo soma,kausha,acha kulalamikaMalaria na ustaadh Alwaz, hivi mnafikiri nyie ndio mnaofuatilia huu mtanange pekee yenu? mbna mna mambo ya kijinga hivi, acheni kumbe Israel awashughulikie.
Heri yenu mko Tz but mngekuwa Gaza sahivi mngekuwa shimoni huko, wala jua ungekuwa unasikia tu
Au siyo. Akumbuke wapalestina waliokufa mpaka Sasa 9700Yeye kaweka toka kwenye vyanzo vyake,ukiona vinakuwasha weka taarifa nawe zinazokupendeza,hutokosa wafuasi, tofauti na hapo soma,kausha,acha kulalamika
Akili zako ziko matakoni ww mfuasi wa nabii tito.Hata wapalestina wangekuwa wakristo kwa asilimia mia kwa walichokifanya 07/10 kinastahili kichapo kizito mno.Gaidi ni kansa kwa ulimwengu wa kileo.Magaidi wawahishwe kwenye bikra 72 tuu
Kesho taarifa mpya ipo,kichapo kule kinaendelea usiku weekend j3 kimya wanapumzika.vita hii kuisha hadi kundi hilo la magaidi la HAMAS kusambaratishwa kikamilifu, kinachoendelea Gaza ni balaa kubwa.
Kwa mujibu wa Balfour Declaration, Palestine ya zamani ni eneo la kijiographia (geographical region), sio nchi huru kwa maana ya sovereign state.Balfour declaration inasemaje, Palestine ni nchi au eneo!?..nini tofauti ya nchi na eneo!?..Tanzania/Tanganyika haikuwepo (sovereign state)kabla ya mjerumani kuja,wakija wakongo,wakawa wanaongea kiswahili au kisukuma na kudai hapa ni kwao,itakua halali!?..Hebrews waliokuwepo Palestine wakiishi vizuri na waarabu na walikua minorities na hawana shida na waarabu na wanapinga uzayuni wa akina netanyahu,netanyahu kuongea kiebrania na kujiita myahudi/Israel hakuhalalishi netanyahu kuwa kweli muebrania,Kama wewe unavyoongea kiingereza haimaanishi wewe muingereza
Unachoshindwa kuelewa na kuzingatia ni kwamba netanyahu na Zionists wenzie hawana uhusiano wowote na Hilo eneo la Palestine,si kwao,ndiyo maana nikakupa mfano wa lugha na Imani ya kiyahudi,Mimi muislam,siwezi sema saudia kwetu kisa mtume alizaliwa huko,waisriwa 'asili' waliokuwepo wakiishi bega kwa bega na wapalestine wao wakiwa minority,na hao real Jews/Israelis wanawapinga akina netanyahu,Zionism ni political movement iliyochanganywa na dini,netanyahu hapo Palestine Hana uhusiano napo,mfano wa Tanganyika na wakongo usiukwepe,Kuna wanyamwezi walienda Kongo zamani na mpaka Leo wapo huko na lugha yao inashabihiana na kinyamwezi,siku wakirudi tabora na kudai nchi yao itakua sawa!?Kwa mujibu wa Balfour Declaration, Palestine ya zamani ni eneo la kijiographia (geographical region), sio nchi huru kwa maana ya sovereign state.
Jaribu kutumia mifano ambayo ni realistic. Hakuna Mkongo anayeweza kuwa na uhalali wa kudai yeye ni sehemu ya Tanzania baada ya Tanganyika kupata uhuru. Hata Watanzania wenyewe wana uhalali wa kusema kuwa Tanzania ni nchi yao kwa sababu ya sheria ya kimataifa inayotambua uhuru wao kama nchi huru.
Kabla ya Tanganyika kupata uhuru, eneo lililokuwa sehemu ya Tanzania ya sasa lilikuwa chini ya mamlaka ya wakoloni wakipokezana. Hakuna jamii ndani ya Tanganyika ama kabla ya hapo iliyokuwa na uhalali wa kudai kuwa eneo la Tanganyika ni lao kiasili. Hata mipaka ya Tanzania kabla ya uhuru iliwekwa na wakoloni haohao.
By the way, kuna maeneo kadhaa ambayo yalikuwa ndani ya German East Africa kabla ya kuwa Tanganyika wakati wa Muingereza ila yalimegwa baada ya Mjerumani kushindwa Vita ya Pili ya Dunia sababu Waswahili hawakuwa na mamlaka nayo kwa maana ya sovereignty.
Ila kuna nchi zinaviongozi, Imagine Jamaa sio Rais, ila anapiga kazi sana...Mambo ni mengi mda hautoshi, blinken anahofu sana na yajayo.
Hii picha imepigwa juzi kwenye ndege akielekea Jordan baada ya kumaliza mazungumzo mazito na Netanyahu kuhusu ceasefire View attachment 2805316
SHERIA gani ya kimataifa Na wewe, UN si imeanzishwa 1945? Unaweza ukaanzisha kitu 1945 kije kutoa hukumu ya Vitu vilivyotokea kabla? Leo Kuanzishwe Sheria kula Wali haifai halafu tukukamate sababu ulikua Wali mwaka jana ina make sense kwako?Iran haiwezi kupata chochote Tanzania kwa sababu, kwa mujibu wa sheria ya kimataifa, Tanzania ni sovereign state. Hata kabla ya uhuru wa Tanganyika, Iran haikuwahi kuwa na mandate ya eneo lolote lile lililokuwa likikaliwa na wazawa wenye asili ya Tanganyika.
So Ina maana kabla ya Uhuru wa Tanganyika wangepewa Wa Iran Nchi tukafukuzwa sisi according to you Ingekua sawa sio? Sababu 1960 haukuwa na Uhuru.Hiyo ni tofauti na "Palestine" ambayo haikuwahi kuwa nchi huru kabla ya 1947, vilevile hata sasa hivi hakuna nchi huru inayoitwa "Palestina" inayohusisha eneo la Israel ya sasa.
Nimeongea mambo mengi tu kuanzia miaka ya 1700 wakati Napoleon alipo taka kuwaleta Wayahudi Palestina na Evidence Zipo library ya kiyahudi na link nimekuekea ila Evidence zote unazipotezea na kuandika unachoamini wewe.Sarafu uliyoileta hapa ni sarafu ya Mamlaka ya Palestina (Palestine Mandate); mamlaka ambayo iliwekwa na Mwingereza chini ya masharti ya League of Nations. Hiyo sarafu iliwekwa na Mwingereza mwenyewe mwaka 1927 na haina uhusiano wowote na 'utaifa' wa kile kinachofahamika kama "Palestine".
Bahati nzuri ni kwamba, hiyo sarafu uliyoileta inathibitisha hoja yangu kwamba eneo ambalo linafahamika kama "Palestine" kwenye hiyo ramani ni eneo lililokuwa likikaliwa na watu wenye jamii mchanganyiko na sio milki au mali ya jamii moja pekee.
Sarafu ambayo Mwingereza aliwapatia "Wapalestina" wa kipindi kile ina alama ya utambulisho na maandishi yenye lugha tatu mchanganyiko ambazo ni Kiarabu, Kiingereza na Kiebrania. Maana yake ni kuwa, hukukuwa na taifa moja la Kiarabu lililokuwa likiitwa "Palestina".
Hii "Palestina" inayofikiriwa na kuzungumzwa sasa hivi kama "nchi huru ya Waarabu wa Kipalestina" ni tofauti kabisa na "Palestine" iliyokuwepo kabla ya 1947.
Una Mahaba ,Kajiunge na Taifa Teule ,mshambulie maadui zenu.Au siyo. Akumbuke wapalestina waliokufa mpaka Sasa 9700
Umefuatilia hiko chanzo?Yeye kaweka toka kwenye vyanzo vyake,ukiona vinakuwasha weka taarifa nawe zinazokupendeza,hutokosa wafuasi, tofauti na hapo soma,kausha,acha kulalamika