LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mfalme wa Uingereza Charles III ndio Mkuu wa Kanisa la Anglikana kwa sasa na nchi yake inasadikiwa kuwa na Waislamu Wengi zaidi barani Ulaya

Uingereza imejikuta ikiwa mdau muhimu kwenye Vita ya Israel na Palestine kuliko yenyewe ilivyojikadiria

Tuzidi kuwaombea!
Mbona hujaweka takwimu?
 
Fakta kuu ni marriage system.Waislam kwa mwanaume anaweza kuoa wanawake hadi wanne ilhali wakristo ni mke mmoja tu,wengine wanabaki masuria tu,endapo utaamua kuongezea.Just imagine,mwenye wake wanne akiwazalisha wote,huoni idadi ya waumini wa dini ya kiislam itaongezeka kwa kasi?
All in all,ni suala la muda tu,waislam watazidi kuwa wengi as days go on,tena na hili suala la ndoa za jinsia moja,hakika litazidi kufanya idadi ya wakristo kutoongezeka kwa kasi,endapo litazidi kupigiwa chapuo.
 
Mfalme wa Uingereza Charles III ndio Mkuu wa Kanisa la Anglikana kwa sasa na nchi yake inasadikiwa kuwa na Waislamu Wengi zaidi barani Ulaya

Uingereza imejikuta ikiwa mdau muhimu kwenye Vita ya Israel na Palestine kuliko yenyewe ilivyojikadiria

Tuzidi kuwaombea!
Taja Waziri Muislamu pale Uingereza
 
Mfalme wa Uingereza Charles III ndio Mkuu wa Kanisa la Anglikana kwa sasa na nchi yake inasadikiwa kuwa na Waislamu Wengi zaidi barani Ulaya

Uingereza imejikuta ikiwa mdau muhimu kwenye Vita ya Israel na Palestine kuliko yenyewe ilivyojikadiria

Tuzidi kuwaombea!
2021-22 Census[54]
Religion
England
Wales
England and Wales[55]
Scotland
Great Britain
Northern Ireland[56][57]
Number
%
Number
%
Number
%
Number
%
Number
%
Number
%
Christianity
26,167,899​
46.3​
1,354,773​
43.6​
27,522,672​
46.2​
1,516,147​
79.7​
Islam
3,801,186​
6.7​
66,947​
2.2​
3,868,133​
6.5​
10,870​
0.57​
Hinduism
1,020,533​
1.8​
12,242​
0.4​
1,032,775​
1.7​
4,190​
0.22​
Sikhism
520,092​
0.9​
4,048​
0.1​
524,140​
0.9​
389​
0.02​
Judaism
269,283​
0.5​
2,044​
0.1​
271,327​
0.5​
439​
0.02​
Buddhism
262,433​
0.5​
10,075​
0.3​
272,508​
0.5​
1,542​
0.08​
Other religion
332,410​
0.6​
15,926​
0.5​
348,334​
0.6​
8,917​
0.5​
No religion
20,715,664​
36.7​
1,446,398​
46.5​
22,162,062​
37.2​
330,983​
17.4​
Religion not stated
3,400,548​
6.0​
195,041​
6.3​
3,595,589​
6.0​
30,529​
1.6​
Total population
56,490,048​
100.0​
3,107,494​
100.0​
59,597,540​
100.0​
1,903,178​

Punguza uongo,

Christian 30%
Muslims 6.7%
 
2021-22 Census[54]
Religion
England
Wales
England and Wales[55]
Scotland
Great Britain
Northern Ireland[56][57]
Number
%
Number
%
Number
%
Number
%
Number
%
Number
%
Christianity
26,167,899​
46.3​
1,354,773​
43.6​
27,522,672​
46.2​
1,516,147​
79.7​
Islam
3,801,186​
6.7​
66,947​
2.2​
3,868,133​
6.5​
10,870​
0.57​
Hinduism
1,020,533​
1.8​
12,242​
0.4​
1,032,775​
1.7​
4,190​
0.22​
Sikhism
520,092​
0.9​
4,048​
0.1​
524,140​
0.9​
389​
0.02​
Judaism
269,283​
0.5​
2,044​
0.1​
271,327​
0.5​
439​
0.02​
Buddhism
262,433​
0.5​
10,075​
0.3​
272,508​
0.5​
1,542​
0.08​
Other religion
332,410​
0.6​
15,926​
0.5​
348,334​
0.6​
8,917​
0.5​
No religion
20,715,664​
36.7​
1,446,398​
46.5​
22,162,062​
37.2​
330,983​
17.4​
Religion not stated
3,400,548​
6.0​
195,041​
6.3​
3,595,589​
6.0​
30,529​
1.6​
Total population
56,490,048​
100.0​
3,107,494​
100.0​
59,597,540​
100.0​
1,903,178​
100.0​
Wasalimie Hapo Mjengoni Machame 😀
 
Haha sasaivi wako chini ya 1% tayari watu wanajilipua na kelele zimeshaanza....wakifika hata 10-15% tayari utasikia wanataka Sharia law
Wakifika 50% tu mmeisha maana watafosi Sharia kwa nguvu
 
Mfalme wa Uingereza Charles III ndio Mkuu wa Kanisa la Anglikana kwa sasa na nchi yake inasadikiwa kuwa na Waislamu Wengi zaidi barani Ulaya

Uingereza imejikuta ikiwa mdau muhimu kwenye Vita ya Israel na Palestine kuliko yenyewe ilivyojikadiria

Tuzidi kuwaombea!
Ndivyo itakuwa miaka ijayo

Na ndivyo itakuwa Kwa Waafrika kuwa wengi Duniani.
 
Haha sasaivi wako chini ya 1% tayari watu wanajilipua na kelele zimeshaanza....wakifika hata 10-15% tayari utasikia wanataka Sharia law
Wakifika 50% tu mmeisha maana watafosi Sharia kwa nguvu
Hii sharia haiwezi kufaulu popote kwa sababu hata waislamu wengi tu hawaipendi na ndio maana wanapenda kukimbilia nchi za magharibi ili kuikwepa.

Hii sharia ki ukweli sio kwamba ni uislam bali ni utamaduni tu wa kiarabu na ukiangalia kuna baadhi ya mataifa yenye waislamu wengi hasa yenye wasomi wengi wa elimu ya kimagharibi ambao hawapendi kabisa mambo ya sharia na wanaona ni mambo ya kijinga yaliyopitwa na wakati.

Katika nchi kama Misri, Lebanon, Algeria, Syria, Malaysia na hata Indonesia watu hawapendi hii sharia na wanapenda zaidi mfumo wa sheria ya kimagharibi, because they regard the Islamic Sharia Law as a primitive way of life not compatible with the contemporary way of life.

Na hata ukija tu hapa Tanzania zaidi ya asilima 80 ya waisilam hawapendi hiyo sharia na badala yake wanapenda mfumo huu wa sheria ya kiingereza tuliyonayo.
 
Hakutumwa Ila kwa kondoo waliopotea wa Israel
Mkuu,angalia tena hapa.👇

18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari. (Mathayo 28:18-20).
 
Sikitumwa Ila Kwa kondoo waliopotea wa Israel....kila goti litapigwa na ulimi kukiri ya kwamba wewe ndiye Mungu mkuu na yesu 'uliyemtuma'....nitahukumu makabila kumi na mawili ya Israel..je waweza chukua chakula Cha watoto na kumpa mbwa!?
 
Back
Top Bottom