Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitendo cha Hamas kuwapa Green light IDF sio bahati mbaya
Nimeona Wazayuni wakisherehekea kuchukua baadhi ya barabara kaskazini mwa Gaza huku wakichukua baadhi ya majengo na Viunga muhimu kaskazini mwa Gaza
Hii siyo ya bahati mbaya hata kidogo!! Hii inaitwa unamuacha adui aingie hadi ndani sana ikisha unaanza kumshughulikia ipasavyo
Wameachwa wasonge mbele bila tatizo hapo watawekwa mtu kati na hawatoamini kitakachowakuta watashambuliwa pande zote
Tayari wameshapoteza Vifaru na magari zaidi ya 190 hadi hivi sasa!!
Huko kaskazini mwa Israel Hezbollah anazidi kuchoma kambi zao hao waisrael tu
Hii Vita kwa tulipofika hakuna haja ya ceasefire najua wazayuni washaanza kuomba Ceasefire kwasasa wakati awali walikataa kwasababu washauona moto wa Hezbollah.
Kitakachowakuta Gaza hawatoamini, na tayari mtoto wa Rais wa Israel hajulikani kama yupo Hai au ni maiti huko Gaza
Hamas walivyosema Gaza itageuka kuwa kaburi la Wazayuni hawakukosea hata kidogo!!
Umesahau kumalizia na allahakbari.Zaidi ya Wazayuni 1405 wamejeruhiwa vibaya kutokana na mashambulizi ya Hezbollah.....
Hapo wamewaonjesha tu jee Hezbollah wakitangaza vita kamili jee si ndo Wazayuni watateketezwa wote?
Maelfu ya Wazayuni wamehamishwa kaskazini mwa Israel wengi wamejengewa mahema huko Telaviv
This is the number of 'Israelis' who were wounded in Hezbollah operations in the north.
A total of 1405
Israeli media announced that 1,405 Israeli were injured as a result of Hezbollah attacks
Idadi kwa kila hospital hiyo hapo[emoji1313][emoji1313]View attachment 2813686
Kwa sasa unafurahia, watakapomaliza na na Hamas,.walihamia Lebanon.utakuwa wa kwanza kujiliza. Wanaua watoto, sijui wanawake. Tarehe 7 Oct mlifanya hayahaya lakini leo mnalia vita iishe.Zaidi ya Wazayuni 1405 wamejeruhiwa vibaya kutokana na mashambulizi ya Hezbollah.....
Hapo wamewaonjesha tu jee Hezbollah wakitangaza vita kamili jee si ndo Wazayuni watateketezwa wote?
Maelfu ya Wazayuni wamehamishwa kaskazini mwa Israel wengi wamejengewa mahema huko Telaviv
This is the number of 'Israelis' who were wounded in Hezbollah operations in the north.
A total of 1405
Israeli media announced that 1,405 Israeli were injured as a result of Hezbollah attacks
Idadi kwa kila hospital hiyo hapo[emoji1313][emoji1313]View attachment 2813686
Kupigwa kunauma sana,anasema angalau ajifariji mwenyewe.Hamas ndo kweli waondoe IDF Gaza! Kama Syria ilishindwa kuiondia Israel pale Golan miaka hiyo yote, je Hamas itaweza?
Hapo vita imefika penyewe ni mafanikio makubwa kwa kikosi maalum cha makomandoo wa Jeshi la chini ya Ardhini kinachojulikana kama YahalomKitendo cha Hamas kuwapa Green light IDF sio bahati mbaya
Nimeona Wazayuni wakisherehekea kuchukua baadhi ya barabara kaskazini mwa Gaza huku wakichukua baadhi ya majengo na Viunga muhimu kaskazini mwa Gaza
Hii siyo ya bahati mbaya hata kidogo!! Hii inaitwa unamuacha adui aingie hadi ndani sana ikisha unaanza kumshughulikia ipasavyo
Wameachwa wasonge mbele bila tatizo hapo watawekwa mtu kati na hawatoamini kitakachowakuta watashambuliwa pande zote
Zote ni mbinu za vita wewe unaweza kuona wameomba poo kama walivyosema Gaza itageuka makaburi ya Israel, vita vitapigwana kwa mtindo mwingine. Acha wachukue kila kitu.sasaivi Hamas wameanza kuomba poo, wanatoa ofa ya vita kusimama siku 5 ili wakimbie na wao wataachia mateka 70. tukimalizana na magaidi ya Gaza, Netanyahu amesema vita na Hezbollah haitapiganwa kwengine ila ndani ya Lebanon. waandae tu cement na nondo kujenga majengo mapya muda si mrefu kwasababu yale yaliyopo yatakuwa magofu. mtoto akililia wembe mpe.
Jana kuna mchambuzi wa Kijeshi msomi wa Mambo ya vita mtanzania tena muislamu kulikuwa na kipindi maalumu TBC cha kuongelea hiyo vita walikuwa wawili mmoja Mkristo anayejua vizuri sheria za kimataifa kuhusu vita zinavyosemaNjia bora kabisa ya kudili na magaidi ni kuwafanyia ugaidi wao wenyewe.
Terrorise them and don't give a damn about human rights or whatever.
All Terrorists must learn the truth in hash way. Death to all Terrorists and their sympathisers.
China and Hindu stand with Israel because Israel it using the same method China/hindu use when it comes to deal with terrosim.
Kwa Upande mwingine " Ukichaa uja kwa njia tofauti. Kama wewe unaamka asubuhi, usukutui, uogi, hujifanyii usafiri wowote jua wewe ni kichaa".
we mpumbav vita haina mbabe , ukiw front hakuna miujiza kurud salama ni bahati , je hamas wamefikia wap mpk ss
Ardhi imechukulia na haitarudi. Muda utaongea tupo hapaKitendo cha Hamas kuwapa Green light IDF sio bahati mbaya
Nimeona Wazayuni wakisherehekea kuchukua baadhi ya barabara kaskazini mwa Gaza huku wakichukua baadhi ya majengo na Viunga muhimu kaskazini mwa Gaza
Hii siyo ya bahati mbaya hata kidogo!! Hii inaitwa unamuacha adui aingie hadi ndani sana ikisha unaanza kumshughulikia ipasavyo
Wameachwa wasonge mbele bila tatizo hapo watawekwa mtu kati na hawatoamini kitakachowakuta watashambuliwa pande zote
Tayari wameshapoteza Vifaru na magari zaidi ya 190 hadi hivi sasa!!
Huko kaskazini mwa Israel Hezbollah anazidi kuchoma kambi zao hao waisrael tu
Hii Vita kwa tulipofika hakuna haja ya ceasefire najua wazayuni washaanza kuomba Ceasefire kwasasa wakati awali walikataa kwasababu washauona moto wa Hezbollah.
Kitakachowakuta Gaza hawatoamini, na tayari mtoto wa Rais wa Israel hajulikani kama yupo Hai au ni maiti huko Gaza
Hamas walivyosema Gaza itageuka kuwa kaburi la Wazayuni hawakukosea hata kidogo!!
Msemaji mkuu wa magaidiKitendo cha Hamas kuwapa Green light IDF sio bahati mbaya

Sure. Na hamas hawakuwa na Nia ya kuharibu kiasi iki. vibe liliwazidi hata wakajikuta wamefanya zaidi ya walivyokuwa wamekusudia.Jana kuna mchambuzi wa Kijeshi msomi wa Mambo ya vita mtanzania tena muislamu julikuwa na kipindi maalumu TBC cha kuongekelea hiyo vita walikuwa wawili mmoja Mkristo anayejua vizuri sheria za kimataifa kuhusu vita zibavyosema
Aliyenikosha ni mchambuzi wa kijeshi aliongea vizuri kuwa Israel muda mrefu haihawahi kuwa provoked kwa kiasi kikubwa kama hicho.mara nyingi wanakuwa provoked na Hamas lakini kwa kiwango kidogo ila sasa wamekuwa provoked kiwango kikubwa ni nafasi walikuwa wanasubiri ili wawape somo Hamas ambalo hawaji sahau hata miaka 50 ijayo .Hamas wakaingia kichwa kichwa
Akasema Israel inachofanya sasa ni kutuma meseji kwa Hamas kwa kuvunja miundombinu bila kujali hospitali, shule au raia au watoto kuwa Hamas mkija thubutu tena mjue gaza yote itakuwa double ya hiki
Sasa hivi wanapeleka somo kwa Hanas na aliohyesha kuumia sana akasema kijeshi inaruhusiwa kumpa somo unayepigana naye asije kusahau milele kipigo kiwe kisheria au la kuwa ndicho Israel wanafanya