stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Tunapiga hata anayemsalimia mtu Hamas, hata awe kwenye hali ganiUlimwengu lazima leo umeshangaa kwa kuona mbabe wa kivita na mwenye teknolojia ya hali ya juu kuvamia hospital na kama kwamba imepigana na wagonjwa.
Wagonjwa bila kujali maradhi na hali zao wametolewa nje na kuhojiiwa sjui kuhusu nini.
Mwisho wa yote mpaka sasa hawajapta Hamas,mateka na hwajaonesha kambi ya Hamas chini ya hospital.Wagonjwa wamejaa hofu.
Ni vita ya aibu kubwa katika historia