LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ulimwengu lazima leo umeshangaa kwa kuona mbabe wa kivita na mwenye teknolojia ya hali ya juu kuvamia hospital na kama kwamba imepigana na wagonjwa.

Wagonjwa bila kujali maradhi na hali zao wametolewa nje na kuhojiiwa sjui kuhusu nini.

Mwisho wa yote mpaka sasa hawajapta Hamas,mateka na hwajaonesha kambi ya Hamas chini ya hospital.Wagonjwa wamejaa hofu.

Ni vita ya aibu kubwa katika historia
Tunapiga hata anayemsalimia mtu Hamas, hata awe kwenye hali gani
 
At least 50 Zionist soldiers have been killed in the last 48 hours in Gaza Strip.

A worker working in an Israeli military cemetery:
"A funeral comes to us every hour or 90 minutes, and we buried 50 dead in two days."View attachment 2818590
Wakifa Israel ni wanajeshi ila wakifa wapalestina ni wanawake na watoto kwa hiyo Hamas hawafagi? Hizi propaganda za wafia dini za kupigana huku wanatafuta huruma wanapozidiwa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Amepiga mji wa Eilat wa Israel zaidi ya mara 20 kwa makombora na yamelenga shabaha unataka ushahidi gani tena wa kuprove?
Yemen kuna serikali na maharamia kama hamas ......wanaopiga sio serikali ....ni vigumu kuwashambulia sababu maKobazi wanajificha kwa raia....
 
Kipindi Ghadafi, kapinduliwa, hifadhi zake za, silaha, ziliibiwa, na, kiasi kikubwa kwa msaada wa Iran, ziliingizwa, kimagendo Gaza kwa, Hamas, sasa, hawa waarabu wajiulize zile siraha zipo wapi?
Ndani ya nchi nyingi za kiarabu, wanaogopa Sana watu wenye misimamo mikali ya kidini, kama Muslim Brotherhood kushika serikali na vyombo vya Dora na siasa,
Wakishika dola wanakuwa kama Talibans, utawala usio na maendeleo ya uchumi.
 
Iran alitangaza mstari mwekundu, ushavukwa na hakuna alichofanya.
Hiyo Yemen inachojivunia ni umbali wake tu, ila IAF watawamaliza
Kumbe bado kuna zina uhusiano na Israeli 😃😃😃
Screenshot_20231119-165220_X.jpg
 
Hata kama vinasaba sio vya wale Israel Og. Mwogopee sana mtu anatetembea kwa kujitambulisha mwiisrael, kuna kitu kipo nyumaa yao. Ile vita ya siku sita waMirsi walishangaa tuu ndege zao zote za kivita vimelipuliwa, walio jangwani wakashangaa wanajeshi wa Israel wanatokea upande ambao hawakutegemea, mpaka leo misri anajua kuna kinini kipo pale caanani
Sasa imekuwaje wameshindwa kuwaokoa mateka wa Hamas?
 
Kwenye video yanasikika yakibwatuka allah akbar akbar na kulipuka...
Ndio video ya kwanza mimi kuona haya mazombi ya kidini yakijilipua, aisei kweli dini ni shida...hehehe!!!
kaisos1987_20231119__1726229087910543378_4_1726225694684770304.jpg
 
Back
Top Bottom