LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Umoja wa nchi za kiarabu na kiislam wapo China kuiomba ishinikize Israel kusimamisha Vita ili kuruhusu misaada ya kibinadamu., Kumbe anayetakiwa kuombwa ni Hamas, uislam una mambo!!!
 
Nendeni tu gaza mkawasaidie Hamas. Huku jf mnajaza seva na uongo usio na manufaa.
 
Taarifa ndio Hiyo

Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF

Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha

Source Al jazeera news
Sasa hapo ndio dini ya nani imeshinda sasa..?mambo ya kipuuzi kabisa roho za watu wasio na hatia zimehangamia miundombinu ya matririoni imeteketea.

Dini nyingi duniani zimeharibu maisha wa binadamu badala ya kujenga.
 
Sasa hapo ndio dini ya nani imeshinda sasa..?mambo ya kipuuzi kabisa roho za watu wasio na hatia zimehangamia miundomjinu ya matririoni imeteketea.

Dini nyingi duniani zimeharibu maisha wa binadamu badala ya kujenga.
Kasome 1 Samwel 15:3-4

Mshindi ametajwa
 
Taarifa ndio Hiyo

Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF

Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha

Source Al jazeera news
Hayo makubaloano wamefanya maarekani, baada ya kuwaachia IDF itaendeleza kipigo tu
 
Taarifa ndio Hiyo

Hamas wataachia Mateka baada ya kushauriana na kukubaliana na Marekani lakini Mateka 60 waliuawa kwenye mashambulizi ya IDF

Ikumbukwe Mateka wengi Wana Uraia Pacha

Source Al jazeera news
Ugomvi wa Israel Hamas makubaliano yanafanywa na Marekani
 
Back
Top Bottom