Kumekuwa na ongezeko la askari wa Israel walioamua kuacha kupigana,wengi wao sababu ikiwa ni kutokukubaliana na malengo ya vita hvyo.
Mmoja wa askari hao kwenye video yake inayotembea kwenye mitandao ya kijamii amesema mengi na nukta muhimu ni hizi
1.Askari waliokwishakufa vitani ni karibu 3000.Magari mengi ya kijeshi na mabuldoza yamepigwa na kuharibiwa.
2.Hamas wanaofanya hayo ni watu wanaovaa suruali za adidas na malapa miguuni.
3.Israel isitarajie kuwamaliza Hamas ambao wako chini ya ardhi na mashimo yao haijulikani yanaishia wapi na wapi wanapopata mahitajio yao
4.Iwapo Israel haiwezi kuwamaliza Hamas ambao wamezingirwa kwa miaka kadhaa na kuzuiwa kukutana na wengine duniani.Israel isidanganywe na Marekani kwamba inawez ikapigana na Hizbullah ambao wana uzoefu mkubwa wa vita kwenye nchi kama Syria na wana mawasiliano yote na ulimwengu.
5.Bila Israel kufanya majadiliano ya kikweli kuwarudishia Palestina heshima zao basi ijiandae na kupoteza ardhi wanazozikalia kwa kupitia vita hivi.
Mfuatile kwenye facebook @Daizygedeon