LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Daktari/Gaidi ajisalimish pamoja na magaidi wa Hamas!
...
Meet Dr. Nasser Almadhun, a physician by day but, shockingly, a Hamas terrorist in hiding.

He surrendered among other Hamas terrorists who hid inside a hospital in Gaza.
IMG_20231217_085300_697.jpg
 
Israel akilipua kanisa, msikiti, shule, hospitali, akiuwa watoto, wanawake na hata alipouwa mateka damu yake hana hatia sababu ni mteule! Kuna shida hapa... 🤣🤣🤣
Screenshot_20231217-203330.jpg
 
Sasa nimeelewa ni kwa nini Adolf Hitler aliamua kuwafyeka hawa wapuuzi miaka ile.
Hii itakuja kutokea hata USA, mazayuni hawafai kokote duniani ndomana wamekuwa watu wakutangatanga dunia nzima hawa jamaa ni trouble makers kila wanapopata nafasi.

Wazayuni wananunua wanasiasa vyombo vya habari na hata watu maarufu ila kwa juhudi za watu wenye kujielewa ukweli umekuwa wazi sasa hivi ndomana duniani waisrael wana sapoti toka kwa viongozi na raia wachache wafia dini, maandamano duniani 90% ni pro Palestine.

Upande wa propaganda wanaelekea kufeli, angalia post zao kwenye mitandao kama X, comments nyingi ni za kuwapinga.
 
Ndio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.

568974

IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother​

Kumbe ndio maana askari wa Israel wanaogopa kuingia Gaza, wanajua Hamas watawachinja kama kuku
Wewe uko wapi? Hayo maandaki ambayo yako unveiled na vikosi vya Israeli si ni ndani ya Gaza!Ukiwa mvaa vipedo na makobazi mfia dini a.k.a shahidi akili inakuwa haifanyi kazi sawasawa hata kama umesoma ilimu dunia!
 
Haya mapovu yote ya nini kijana
Waende wakawachukue magaidi wao waliotekwa huko ndani
 
Ndio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.

568974

IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother​

😄 Sa walikuta nini kama hilo tunnel ni la Hamasi? AFU Israel hilo tunnel unauhakika kaliona jana? Au labda aliliona zamani sababu Hamasi Halitumii inaonyesha ama waliwacha kulitumia zamani au Israel kaleta yeye kalifukia sababu jeshi la Israel lipo hapo toka walipo ingia Gaza hilo tunnel lipo karibu kabisa na border.

Mimi nahisi Israel anaweza kuwa kajenga yeye kutafuta point ya kiaskari sababu hana mpa mda hu?

Swali je walikuta hata kijana wa Hamasi mle? Au silaha? Sa vipi tuamini waongo??Israel ni waongo sa je kama hilo tunnel ni wao Israel ndio walilijenga zamani?

Swali lingine hata kama ni tunnel la Hamasi, ina mana tokea vita vianze wamepata tunnel moja tu 😄 Afu kuna watu wanasema hawa ma super power siku 70 ndio mnapata tunnel afu tunnel lisilo tumiwa hakuna chochote ndani afu mnajisifu 😄

Mimi nadhani hilo tunnel labda walijenga wao au katika matunnel walio gundua wao zamani kabla ya vita, wameamua kwa sasa kulionyesha ili waonekane wamepata angalau kavictor kwenye upande wa kijeshi.

Swali lingine kama ni kweli wamegundua hilo tunnel kawaulizeni ma expert katika JWTZ kuwatangazia watu si unakuwa umempa adui yako point? Anafahamu wazi kumbe tunnel lile hatuwezi litumia tena, badala ya wao kufaida nalo kuwashika Hamasi wakilitumia, haijaingia akilini hata siku moja na hisi ni kama filim ya kihindi tu katengeneza Israel.

Hilo tunnel labda wao wamelijenga sababu linaonyesha ni jipya na hakuna hata askari wa Hamasi au silaha, tazameni vyuma vipya kabisa 😄
 
Ndio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.

568974

IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother​

Unaweza kukuta hilo handaki lilikuwepo kitambo sana na inawezekana lilijengwa na hao hao Israel kipindi hicho wanaikalia Gaza. Siku hizi habari za kwenye internet sio za kizikurupukia
 
Wewe uko wapi? Hayo maandaki ambayo yako unveiled na vikosi vya Israeli si ni ndani ya Gaza!Ukiwa mvaa vipedo na makobazi mfia dini a.k.a shahidi akili inakuwa haifanyi kazi sawasawa hata kama umesoma ilimu dunia!
Taratibu Munyaazi Mungu anakuona...! Hahaha ila Hamas bhana
 
Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
  • 5525590-ab47e7ed6a3edf76e2c7f0902480fd95.mp4
    4.5 MB
Back
Top Bottom