Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Ni kweli.Na vina tabia ya kugeuka geuka mpaka wakaingia wasiokuwemo.Au aliyetarajia kupata ushindi akashindwa kwa aibu.vita isikie tu jiran
Mwanzo Israel ilijua atapiga mabomu mazito na kumaliza kazi kwa wiki moja tu.Loo! sasa ni mwezi wa tana hata pakupiga hajui apjige wapi na dalili ya vita kwisha haiko vizuri.
Marekani amepeleka meli kubwa za kivita bahari ya Mediteranean,hatimae imebidi apunguze baadhi yao kwanza gharama zimezidi na pia kuna kitisho cha kuzamishwa na Houth na Hezbollah.
Uamuzi wa Houth kupiga na kuzuia meli kupita bahari nyekundu kumepelekea nchi zote duniani kuipata hisia ya vita baina ya Israel na Hamas.