LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Unaweza ukaniambia mataifa ambayo kiasili ni ya kiarabu ukilinganisha na leo ambapo Waarabu wamesambaa na kutwaa ardhi North africa ??
sasa apo nani wenye uchu wa ardhi
ewe myahudi
kusambaa kwa waarabu sio issue hata kwetu hapa kuna pande la ardhi wanauziwa sijui washapewa sababu ya vipande thelasini vya pesa, si unaona kina mama yeyoo na morani wanavopigania ardhi yao kama hamas
 
ewe myahudi
kusambaa kwa waarabu sio issue hata kwetu hapa kuna pande la ardhi wanauziwa sijui washapewa sababu ya vipande thelasini vya pesa, si unaona kina mama yeyoo na morani wanavopigania ardhi yao kama hamas
Unafaham Arabs invansion of north Africa??
 
kwa Iran ili aendelee kuwa juu lazima awe na reserve ya gold ya kutosha , ndicho anachofanya sasa kusaka gold .

Hapo ni katika utabiri wa siku za mwisho , kuja kwa mtu atakayejifanya yeye ni Mungu
hizi ni consipiracy theory
 
we akili kisoda hamas anapambana na NATO pamoja na magaidi israel wanapigania uhuru wao hesabu gani hizo wamefeli hamasi wewe ndio ulipata F hesabu form four tulia.

HII HUWA MARA NYINGI TUNAKIMBILIA KUJITETEA. LEO HII TENA NI NATO? 🤣NEXT TIME TUTASEMA WANAPAMBANA NA MALAIKA.
 
Kwa wale ambao hamjaiona ramani ya Great Israel nawashauri angalieni google hapo. Ukiandika Great israel map utaiona.

Ustadhi anatabiri kwamba Wazayuni hawajamaliza kwanza wapo namba moja. Wataendelea hadi ndoto ya Great israel itimie.

Saizi naona wanamuandama Prince MBs Kwamba ni Zionist ili wakitibue Saudi Arabia. Wakuu hii movie bado mbichiii sana.Kwa watakaoishi hadi kesho mtasimulia.

View: https://youtu.be/0YSp-HBq32g?si=A5EQ9TY0z7EKgvsu

Wacha waichukue kwanza Yatrib ilikiwa mali ya Wayahudi
 
Back
Top Bottom