chariti
JF-Expert Member
- Aug 18, 2023
- 362
- 748
ewe myahudiUnaweza ukaniambia mataifa ambayo kiasili ni ya kiarabu ukilinganisha na leo ambapo Waarabu wamesambaa na kutwaa ardhi North africa ??
sasa apo nani wenye uchu wa ardhi
kusambaa kwa waarabu sio issue hata kwetu hapa kuna pande la ardhi wanauziwa sijui washapewa sababu ya vipande thelasini vya pesa, si unaona kina mama yeyoo na morani wanavopigania ardhi yao kama hamas