LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
invansion ni kuvamia mahali kuangusha serikali na kutawala
Ila migration ni kuhama sehemu moja hadi nyingine .Elewa
ewe kilaza
wangoni wakati wanaingia tanganyika unajua walipigana vita ngapi hadi kuweka kambi kubwa ruvuma hio migration unayozungumzia wewe labda ya nyumbu, yote yale yale, kwa uelewa wako wangoni walikua hawaangushi tawala za zamani
 
Wewe ndio unajua leo ? Hiyo imeshaongelewa kitambo sana mpaka kuanguka kwa dollar ya marekani ni suala la muda tu ....Kwa sababu huo wanaamini ujio wa Dajjal , kwa utabiri tu ni kwamba atatokea mashariki ya kati ..

Nikupe tu dondoo ni ishu ya watu kuhifadhi dhahabu kwa pupa kama ilivyo sasa mpaka Iran .


Soma vizuri .
Kitabu gani cha dini kilitabiri kuanguka kwa dollar ya marekani
 
Ule uliojengwa na abl malik 685? Wayahudi wana tempe pale miaka 2000 kabla na watalijenga tena soon baada ya kuvunja huo msikiti
Hilo ndio temple kubwa kabisa wanaotaka kujenga katika eneo lile lile , ngoje tuone.
 
Kitabu gani cha dini kilitabiri kuanguka kwa dollar ya marekani
Kachambue kuhusu kuja kwa Dajjal na mpango wa kuwa na serikali moja duniani hapo , usione watu wanahifadhi dhahabu ukafirikia hawajui kitu .
 
Hamas hesabu zao za ovyo, wanaanzisha vita ambavyo hawawez pigana hata miez 5 tu, wale wangejikita kuboresha maisha ya raia wao tu
Raia wao maisha bora watayapata wapi? Kwanza wanazaliana kama mchwa. Eneo ndio hilo limemegwa ni dogo. Waarabu hawawataki wapalestina sababu wana roho ngumu kama kaka zao Israel.
Angalia Lebanon ilivyosambaratishwa. Jordan, ilibidi wapipgwe na kuondolewa kwa mabavu kwenye zile kambo zao.
Kiufupi, nao ni binadamu. Sasa wataishi wapi? Ingawa ni kweli wanajidanganya wakishamaliza kusali Mungu atawasaidia kuwapiga waisrael. Huo ni urongo mtupu.
 
Jana Israel imetangaza kua imezima jaribio la mashambilio toka Hizibolah kwa kupiga Missile launch kuzisambaratisha baadae Hizibolah wakakanusha kua hakuna shambulio lolote la Israel lilowaathiri toka Israel zaidi ya kupiga target za magumashi za Hizibolah na sio Missile launch halisi
 

Attachments

  • IMG_20240825_212231.jpg
    IMG_20240825_212231.jpg
    79.2 KB · Views: 3
  • IMG_20240825_212213.jpg
    IMG_20240825_212213.jpg
    146.1 KB · Views: 3
Jana Israel imetangaza kua imezima jaribio la mashambilio toka Hizibolah kwa kupiga Missile launch kuzisambaratisha baadae Hizibolah wakakanusha kua hakuna shambulio lolote la Israel lilowaathiri toka Israel zaidi ya kupiga target za magumashi za Hizibolah na sio Missile launch halisi
Mwambie Nasrallah atoke huko mapongoni Netanyahu anataka kumsalimia.
 
Back
Top Bottom