LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wadau hamjamboni nyote?

Huu ni ushauri wangu wenye nia safi kwa taifa takatifu la Israel

Kwa Usalama wa kudumu wa taifa lenu na vizazi vyenu naomba muichukue na kuikalia/ kuitawala nchi ya Lebanon kwa miaka 20 na kuendelea

Aksanteni sana na Mungu azidi kuwalinda na kuwabariki
 
Kashindwa kuwamaliza hamas ndo awamalize Hezbollah? Ni mjinga pekee ndo atakaye amini huo utahira
Kwenye vita usipounhwa mkono wa wananchi wako utamalizwa. Hezbollah hawaungwi mkono na Raia wa Lebanon na hata Serikali ya Lebanon haiwaungi mkono. Hivyo, Hezbollah ni wepese kuliko HAMAS ambao wanaungwa mkono na raia wa Palestine na Gaza.

Kwa analysis rahisi tu ndani wa wiki siziozidi tatu viongozi wote wa Hezbollah wameuliwa kirahidi sana tofauti na viongozi wa Hamas
 
Tumeona yanayoendelea; hayapendezi machoni mwa mwanadamu yeyote aliye na hofu ya Mungu wa Kweli. Hata hivyo hatuwezi epuka kuchunguza undani na wa jamii hizi mbili ili itusaidie kutoa maoni yaliyo sahihi kuhusu yale wanayotenda sasa.
1. Israel ina jamii ya waarabu waislam wapatao 2,000,000 ambao ni raia wenye haki sawa. Mtu atuambie kama kuna kitu hicho kwa the so called Palestinians au nchi za kiarabu
2. Quran inazungumza moja kwa moja kuwa Waislamu wawaue kabisa wayahudi na wakiristo. Pia sikiliza viongozi wa Kiislamu wakiyasema hayo wao wenyewe. Mtu atuambie kama Torah inazungumza hayo
3. Katiba za Hamas na Hezbollah zinazungumza moja kwa moja kulifutilia mbali Taifa la Israel. Mtu atuambie kama katiba ya Israel inazungumzia kufutilia mbali wapalestina
4. Katika Jeshi la Israel wapo pia Waarabu waislamu wanaipigania nchi yao ya Israel. Mtu atuambie kama ktika majeshi ya Hamas na Hezbollah wapo hata angalau Waarabu wakiristo wanaipigania nchi zao za Gaza na Lebanon
ONA HII VIDEO VIONGOZI WA KIISLAMU WAKISEMA QURAN INAAGIZA KUANGAMIZA WAYAHUDI

View: https://x.com/orenbarsky/status/1843168625311596992
 
Hakuna anayetaka amani, acha watwangane mbabe apatikane waheshimiane.
 
Nimekumbuka jambo lingine muhimu: Kati ya Waarabu wapalestina, Hezbollah na Wayahudi nani ameweka Mitaala ya Shule ambapo chuki dhidi ya mwenzie hufundishwa.
 
Uislam ni dini nzuri na ni dini ya amani ila shida baadhi yao fundamentalists wa kiislam ambao hawataki jamii nyingine tofauti na uisl, hata Iran ameomba nchi za kiarabu na kiislamu waungane kumtwanga Israel, hivyo vikundi vya ISlamic states, hamas, hezibolah Muslimin brothehood, houth ndo vibaya sana ,cwao hawataki amani wanataka kufuta wayahudi
 
Maneno na vitendo ni vitu viwili tofauti
Kwani kusema Samia must go ndio go kweli?
 
Kuna shida sehemu. Kufundisha watu wa imani yako wawe na chuki ni dhiki kubwa sana duniani. InshaAllah tutayashinda hayo.🙏
 
Tumeona yanayoendelea; hayapendezi machoni mwa mwanadamu yeyote aliye na hofu ya Mungu wa Kweli. Hata hivyo hatuwezi epuka kuchunguza undani na wa jamii hizi mbili ili itusaidie kutoa maoni yaliyo sahihi kuhusu yale wanayotenda sasa.
1. Israel ina jamii ya waarabu waislam wapatao 2,000,000 ambao ni raia wenye haki sawa. Mtu atuambie kama kuna kitu hicho kwa the so called Palestinians au nchi za kiarabu
2. Quran inazungumza moja kwa moja kuwa Waislamu wawaue kabisa wayahudi na wakiristo. Pia sikiliza viongozi wa Kiislamu wakiyasema hayo wao wenyewe. Mtu atuambie kama Torah inazungumza hayo
3. Katiba za Hamas na Hezbollah zinazungumza moja kwa moja kulifutilia mbali Taifa la Israel. Mtu atuambie kama katiba ya Israel inazungumzia kufutilia mbali wapalestina
4. Katika Jeshi la Israel wapo pia Waarabu waislamu wanaipigania nchi yao ya Israel. Mtu atuambie kama ktika majeshi ya Hamas na Hezbollah wapo hata angalau Waarabu wakiristo wanaipigania nchi zao za Gaza na Lebanon
ONA HII VIDEO VIONGOZI WA KIISLAMU WAKISEMA QURAN INAAGIZA KUANGAMIZA WAYAHUDI

View: https://x.com/orenbarsky/status/1843168625311596992

Labda kama ni kujitia upofu tu ndugu:

IMG_20241007_113735.jpg

Unajua ni kwa nini?

Unadhani hawa wote ni wajinga ila wewe?

IMG_20240508_164459.jpg

IMG_20241007_072816.jpg

Au hata basi hata hawa?!

IMG_20241007_081142.jpg

Kwa mwendo huu si mbaya kufikiria kupeana vipimo vya wenda kuzimu ndugu.
 
Tumeona yanayoendelea; hayapendezi machoni mwa mwanadamu yeyote aliye na hofu ya Mungu wa Kweli. Hata hivyo hatuwezi epuka kuchunguza undani na wa jamii hizi mbili ili itusaidie kutoa maoni yaliyo sahihi kuhusu yale wanayotenda sasa.
1. Israel ina jamii ya waarabu waislam wapatao 2,000,000 ambao ni raia wenye haki sawa. Mtu atuambie kama kuna kitu hicho kwa the so called Palestinians au nchi za kiarabu
2. Quran inazungumza moja kwa moja kuwa Waislamu wawaue kabisa wayahudi na wakiristo. Pia sikiliza viongozi wa Kiislamu wakiyasema hayo wao wenyewe. Mtu atuambie kama Torah inazungumza hayo
3. Katiba za Hamas na Hezbollah zinazungumza moja kwa moja kulifutilia mbali Taifa la Israel. Mtu atuambie kama katiba ya Israel inazungumzia kufutilia mbali wapalestina
4. Katika Jeshi la Israel wapo pia Waarabu waislamu wanaipigania nchi yao ya Israel. Mtu atuambie kama ktika majeshi ya Hamas na Hezbollah wapo hata angalau Waarabu wakiristo wanaipigania nchi zao za Gaza na Lebanon
ONA HII VIDEO VIONGOZI WA KIISLAMU WAKISEMA QURAN INAAGIZA KUANGAMIZA WAYAHUDI

View: https://x.com/orenbarsky/status/1843168625311596992

Wapenda haki humu JF nina complaint against modes wa JF. Naona kabisa wana upendeleo; nathubutu kusema modes ni Pro Hamas. Hii text niliianzishia UZI HUMU JF. nafikiri kwakuwa Modes wameona ina hoja nzito dhidi ya hamas, Palestine na Hezbollah, wamefuta uzi huo na kuhamishia hii text kwenye yanayojiri vita vya hamas.
Ona hii screenshot
Screenshot_20241007-140927_Chrome.jpg
Screenshot_20241007-140900_Chrome.jpg
 
Wapenda haki humu JF nina complaint against modes wa JF. Naona kabisa wana upendeleo; nathubutu kusema modes ni Pro Hamas. Hii text niliianzishia UZI HUMU JF. nafikiri kwakuwa Modes wameona ina hoja nzito dhidi ya hamas, Palestine na Hezbollah, wamefuta uzi huo na kuhamishia hii text kwenye yanayojiri vita vya hamas.
Ona hii screenshot
View attachment 3117775View attachment 3117774

Hoja nzito unaziona je mwamba kwenye mada yako mwenyewe?

Hukuwahi kusikia nyani haoni k*nd*le?
 
Back
Top Bottom