Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?
Tumerudia zama zile za kuwa na untouchables.

Ngoja tuone namna watakavyodeal na mwenzao.
 
Ndio maana hata taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi juu ya kuwakamata Watuhumiwa wanne (4) kati ya sita ina 'walakini' mkubwa sana.

Taarifa hiyo eti wanasema "watuhumiwa wawili wamejificha, bado hawajakamatwa na Jeshi hilo linaendelea kuwatafuta."

Aidha, taarifa yao hiyo haikutaja majina ya hao 'watuhumiwa wawili waliojificha,' na Wala hawakutoa picha za watuhumiwa hao wanaotafutwa.

Kumbe kwa sababu mhusika Mkuu kwenye ushetani huo ni 'mtu wa nyumbani kwao'!?
Ila kwa mama namba 1 , huyu hakatizi It’s just a matter of time hii inaweza malizwa kimya kimya but kwake ikawa maumivu sana.
Ogopa sana mtu asiezungumza sana na anamadaraka.
 
Back
Top Bottom