Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?
Kwanini mwanzo walisema ni CAPTAIN wa jeshi la wananchi na sasa ni afisa wa jeshi la Polisi? Maana ake kuwa sio habari zote za kuamini mpaka itakapothibitishwa na mamlaka husika
Nakazia hoja. Halafu nukuu inasema: "JM amebakwa na kulawitiwa usiku huo hadi kesho yake asubuhi. Video ile imerekodiwa asubuhi wakati wahuni hao wanamaliza kufanya uhalifu".
Kama ni asubuhi manake kitendo "in action" kilishapita. Inakuwaje tena walijirekodi wakati wa tukio likiendelea?
Halafu tena huyo "JM alikuwa anatoka kazini saa tano usiku, akavamiwa na pikipiki mbili, ....."Je,Haiwezekani JM alizinguana na mmoja wa wateja huko Bar/Grocery?
Ni kweli Mamlaka husika ndo wataweza kutengua kitendawili hiki.
 
Hakuna kesi hapo , nawaambiaga Kesi ya wakubwa utanukumbusha kwamba waliizuga Zuga tu, wameshaichezesha kitambo! Wanasema wamekamatwa Kuna mwenye ushahidi kwamba kuna alokamatwa?

Uongo uongo tu


Britanicca
Kule twita aliyetoa taarifa hizi ni boniyai,akadai mumewe ashafariki,alipobanwa aelezee kifo chake kapiga kimya.Mdau mwingine akadai mume WA mtuhumiwa alifariki 2021 🙌
 
Ndio maana hata taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi juu ya kuwakamata Watuhumiwa wanne (4) kati ya sita ina 'walakini' mkubwa sana.

Taarifa hiyo eti wanasema "watuhumiwa wawili wamejificha, bado hawajakamatwa na Jeshi hilo linaendelea kuwatafuta."

Aidha, taarifa yao hiyo haikutaja majina ya hao 'watuhumiwa wawili waliojificha,' na Wala hawakutoa picha za watuhumiwa hao wanaotafutwa.

Kumbe kwa sababu mhusika Mkuu kwenye ushetani huo ni 'mtu wa nyumbani kwao'!?
Jeshi lililojichokea
 
Sasa mama umri huo wivu wa nini?
Hizo hekaheka za wivu atuachie sie watoto zake na visimbuzi vyetu vya Azam burudani kwa wote 🤣🤣🤣
Kumbe alishawahi kuingia kwenye mfumo wa Adv Kibatala huyo Mama wakati wanamlazimisha Maxence Melo atoe taarifa za Member wa JF
Screenshot_20240811-225811.jpg
 
Back
Top Bottom