The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Mkuu,
Fatuma mume wake alishafariki siku nyingi. Na baada ya hapo hakuolewa tena.
Hata huyo anayesemwa mume wa mtu, si mume wa mtu.
Kuna asilimia kubwa ni wivu wa kihawara, ikiwa mumewe alishaachana na dunia hii.
YOUNG LADY pengine aliona huyu sio wako wa ndoa na umri tayari umesonga bora niwe naye labda aliahidiwa mambo mengi mazuri na jamaa, confidence ya YOUNG LADY ilitoka kwa jamaa (anayesemekana mumewe wa mheshimiwa) kutokana na maneno yake kwake.