Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
IMG-20240811-WA0025.jpg

Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana.

‘JM’ alikuwa mfanyakazi wake. ASP Fatuma Kigondo akahisi bwana wake (jina lake tunahifadhi kwa hatua za sasa) ana mahusiano na ‘JM’. Akaagiza atekwe.

ASP Fatuma Kigondo anamiliki grocery na liquor store Dodoma. JM ni mmoja kati ya wafanyakazi katika moja kati ya grocery au bar za ASP Fatuma Kigondo.

JM alikuwa anatoka kazini saa tano usiku, akavamiwa na pikipiki mbili, wakashuka watu watano wakiwa na visu mkononi. Wakamchukua na kuondoka naye.

JM amebakwa na kulawitiwa usiku huo hadi kesho yake asubuhi. Video ile imerekodiwa asubuhi wakati wahuni hao wanamaliza kufanya uhalifu.

Chanzo: Boniface Jacob Kupitia X na pia Martin Maranja kaandika

Pia soma: Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Pia, Kumbukumbu zinaonesha Askari Fatuma Kigondo aliwahi kutoa ushahidi Tarehe 18, Desemba 2017 akiwa shahidi wa upande wa Jamhuri kwenye Kesi dhidi ya JamiiForums, kwa kosa la kukataa kutoa “taarifa za mteja wao”.

Fungua kiungo hiki kusoma ushahidi huo: Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai waliomba taarifa za mteja bila kutaja ni kwa mujibu wa sheria gani
 
Ndio maana hata taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi juu ya kuwakamata Watuhumiwa wanne (4) kati ya sita ina 'walakini' mkubwa sana.

Kwenye Taarifa hiyo eti wanasema "watuhumiwa wawili wamejificha, bado hawajakamatwa na Jeshi hilo linaendelea kuwatafuta."

Aidha, taarifa yao hiyo haikutaja majina ya hao 'watuhumiwa wawili waliojificha,' na Wala hawakutoa picha za watuhumiwa hao wanaotafutwa.

Kumbe kwa sababu mhusika Mkuu kwenye ushetani huo ni 'mtu wa nyumbani kwao'!?
 
Kwanini mwanzo walisema ni CAPTAIN wa jeshi la wananchi na sasa ni afisa wa jeshi la Polisi? Maana ake kuwa sio habari zote za kuamini mpaka itakapothibitishwa na mamlaka husika
Watu wengi hawajui mpangilio na sehemu ya vyeo/nafasi.Unakuta hata mwenyekiti wa mtaa anachanganywa na mtendaji.Nesi anaitwa dokta.Yawezekana kulikuwa na nia ya kupotosha au mtoa taarifa anajua kila nyota tatu ni kepteni.
 
Binafsi sikuwa namuunga mkono JPM kwa sababu sikuwa nimeona giza lenyewe.

Unajua kama huna tochi kjinga cha moto kinakusaidia kutembelea kwenye giza nene!

Pakiwa na giza kidogo huwezi kuona umuhimu wa kijinga cha moto endapo giza ni dogo.

Pakiwa na giza nene na huna tochi utakumbuka kijinga cha moto.

Hii ni awamu ya giza nene. Shetani amejiinua kwa kiburi kikubwa sana.

Tatizo ni CCM kuweka makada wake kuongoza na kutawala kila idara ili kulinda chama na maovu yake . Waovu wakitawala watu huugua.
 
Back
Top Bottom