Kura za Lissu zitapunguzwa na Membe
Kwa kifupi upinzani unajitafuna wenyewe
Kweli kabisaKura za Lissu zitapunguzwa na Membe
Kwa kifupi upinzani unajitafuna wenyewe
Jamaa wamejipanga kuliko maelezo, na mipango yao imeanza takribani miaka kadhaa iliyopita.Sky Eclat tuacheni na utani wakati mwingine tunawasema CCM ila wale jamaa wamejipanga sanaaa kwenye kila kitu
Upinzani unatafunana wenyewe kwa wenyewe
Nikweli but just think Lisu Kuwa Rais? Or Member? Nadhan nibora tuongozwe na Jiwe Tu. Tunasafari ndefu Sana bado vyama vya upinzani Kuwa vyenye uwezo kutuongoza. Tutakuwa tumepotezaIndonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili dumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena matatizo ya wananchi walala hoi.
Mwaka 1998 upinzani ulifanya campeni ya nguvu. Pamoja na New Order kuwa na jeshi, polisi na Usalama wa Taifa, ushindi wa upinzani ulikuwa mkubwa mno.
Mabadiliko makubwa ya kiutawala yalifanywa na Upinzani ulipoingia madarakani. Haikua kazi rahisi na walipitia mwaka mzima wa mtikisiko wa kuichumi. Baada ya hapo mpaka sasa hali ya siasa a uchumi iko shwari.
Mnaopenda kusoma zaidi nendeni Wikipedia msome history of Indonesia.
Vyombo vya habari hawajui kuwa mungu hufanya miujiza kwa vyama vyenye Tabia ya uonevu kama CCM . Maajabu ya Malawi, Zambia, congo, Ghana, Burundi, Gambia yanaenda kutokea Tanzania, hakuna mabaya yasiyo na mwisho ubaya wao mbinu zao za uchakachuaji kwa nguvu za mungu zitafeliLinatakiwa dodoki kusafisha akili za watu wanafiki hapa kwetu inatakiwa tuanze na vyombo vya habari vile ambavyo picha inaonekana lakini sauti haisikiki
ukichukulia mambo bila tafakari ni rahisi kua na majibu kama haya bt kamwe ukombozi wa siasa za kiafrika hautapatikana kwa kutumia hii mifumo inayowanufaisha mabeberu na kuwadidimiza waafrika..Utajua hujui aiseeee
Sisi tutapambana na tutaweza ndipo utashangaa
Nakuhakikishia wapinzani wakipata zaidi ya 15% taomba mods wanipige bani ya mwaka mzima, JPM kura zikipungua sana ni 85-90%.Endelea kujifariji wakati kuna wakulima, Askari, watumishi wa umma, vijana kila mmoja amekata tamaa ya maisha katika serikali hii.
Wakuletee hoja nyumbani kwako ili iweje? Kampeni zikianza utasikia hoja nyingi mpaka utachanganyikiwa asiyoyajua usiyoyatarajia utayasikia utayajua, kumbuka mtukufu alizuia mikutano ya siasa kinyume cha Sheria kwa mda wa miaka 5 akajiona ni mjanja kumbe hajui kuwa siri zote zimevuja file zote wanazo akina Tundu lisu, Membe na wapinzani wengine na Siri zingine zitaongezeka Pindi kamati kuu ikianza kukata majina ya wagombea ubunge hasa wale walioshinda kura za maoni, wengi wenye hasira za kukomolewa wataenda kutoa siri zote kisha kuwahaa wenzao kuwa wapo pamoja nao kuepuka kufukuzwa uanachama wa CCM.Zaidi ya kupigwa Risasi Bado sijasikia hoja ya Lisu.
Zaidi ya kukatwa, Membe atakua hana Jambo jingine la kuzungumza.
Sijui kama watakuelewa.Nikweli but just think Lisu Kuwa Rais? Or Member? Nadhan nibora tuongozwe na Jiwe Tu. Tunasafari ndefu Sana bado vyama vya upinzani Kuwa vyenye uwezo kutuongoza. Tutakuwa tumepoteza
Maendeleo lazima yafananishwe na pale palipoendelea unataka Tanzania ifananishwe na Somalia?Kuifananisha.Tanzania na Indonesia ni upunguani ,angalia historia ya hizi nchi kabla ya kuleta utopolo hapa jukwaani
Suala la maendeleo ya watu kwa sasa kutoka kwa viongozi wa CCM na itikadi wanayoisimia, ni kama mfano wa uliopo ndani ya maandiko matakatifu kuhusu kiriba cha kale na divai ya kale. Ukale huo unahakisiwa ktk sura ya maendeleo toka Tanganyika ilipopata uhiru wake mwaka 1961 mpaka nchi yetu ilipo hivi sasa.
Huwezi kuweka divai mpya ktk kiriba cha zamani, kwa kuwa kiriba cha zamani huifadhiwa divai ya kale, na hali kadhalika divai mpya ktk kiriba kipya, la sivyo kwa kufanya hivyo kiriba cha kale kitapasuka na divai mpya itamwagika yote na kupotea.
Nchi hii inahitaji viongozi wapya na maono mapya ya kiitikadi kwa ajili ya kesho ya siha na afya njema ya mama Tanzania. Kauli za kibabaishaji za CCM mpya ni kutaka kucheza kamari na maisha na maendeleo ya ways kwa mara nyingine tena.
This is it!Mhh...! Kwa akili za watz huko vijijini bado tunasafari ndefu sana kwa upinzani kuking'oa chama twawala.
Umeandika kwa hofu ya kushindwa oktoba.Wakuletee hoja nyumbani kwako ili iweje? Kampeni zikianza utasikia hoja nyingi mpaka utachanganyikiwa asiyoyajua usiyoyatarajia utayasikia utayajua, kumbuka mtukufu alizuia mikutano ya siasa kinyume cha Sheria kwa mda wa miaka 5 akajiona ni mjanja kumbe hajui kuwa siri zote zimevuja file zote wanazo akina Tundu lisu, Membe na wapinzani wengine na Siri zingine zitaongezeka Pindi kamati kuu ikianza kukata majina ya wagombea ubunge hasa wale walioshinda kura za maoni, wengi wenye hasira za kukomolewa wataenda kutoa siri zote kisha kuwahaa wenzao kuwa wapo pamoja nao kuepuka kufukuzwa uanachama wa CCM.
Jamaa wamejipanga kuliko maelezo, na mipango yao imeanza takribani miaka kadhaa iliyopita.
Kwa sasa wanafanya final touches tu.
Jamaa walivyo wekeza kwenye media aina zote, na mengineyo ni hatari.