Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Ni ngumu kumlaumu refa kwasababu hata Azam wenyewe hawajui kufanya replay ya matukio kama haya. Wakati super sport wanaweka position ya mpira vs mstari wa goli. Na ndio maana ulaya wana teknolojia ya goal line
 
Kivyovyote ilivyokuwa bora haijawa goli
 
Back
Top Bottom