Nyie saizi yenu Polisi
Hao utopolo waje kucheza na Simba SC kwenye nusu fainali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao utopolo waje kucheza na Simba SC kwenye nusu fainali.
Wewe kolo goli la Mauya hauja liona? ule mpira beki kaokolea ndani umeshupaza shingoMan of the match ni refa na hapo ndio inatukumbusha kuwa na mawasiliano mazuri na hawa wajomba ni kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda
Sijaona sijaangalia mechiWewe kolo goli la Mauya hauja liona? ule mpira beki kaokolea ndani umeshupaza shingo
Sasa una povuka nini?Sijaona sijaangalia mechi
We kubwa jinga unaongea nini..Kakojoe ukalale wewe. Kesho uwahi shule. Mpira huujui, halafu unabweka bweka hapa.
Si umejiona ulivyo! Sasa ulipata wapi ujasiri wa kubwabwaja, na wakati hata tukio lenyewe la penati hukuliona?We kubwa jinga unaongea nini..
Hivi kumbe kulikuwa na penati maana nilivyoona mumebebwa nienda zangu kuangalia game ya RBL na hoffeinh..
Yanga na Simba huwa ni upuuzi,kama hakuna mechi mbadala ndio naangaliaga.
Ni kweli sisi Simba tuna vijana Kagere, Bocco, Onyango na makinda kemkem.Utopolo wamechoka. Uzee unajidhihirisha kwa baadhi ya wachezaji na wengi hawako match fit.
Hii ndiyo shida ya mashabiki mikumbo kama huyo jamaa.Si umejiona ulivyo! Sasa ulipata wapi ujasiri wa kubwabwaja, na wakati hata tukio lenyewe la penati hukuliona?