Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Kakojoe ukalale wewe. Kesho uwahi shule. Mpira huujui, halafu unabweka bweka hapa.
We kubwa jinga unaongea nini..

Hivi kumbe kulikuwa na penati maana nilivyoona mumebebwa nienda zangu kuangalia game ya RBL na hoffeinh..

Yanga na Simba huwa ni upuuzi,kama hakuna mechi mbadala ndio naangaliaga.
 
Si umejiona ulivyo! Sasa ulipata wapi ujasiri wa kubwabwaja, na wakati hata tukio lenyewe la penati hukuliona?
 
Utopolo wamechoka. Uzee unajidhihirisha kwa baadhi ya wachezaji na wengi hawako match fit.
 
Back
Top Bottom