Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Hiyo ni package ambayo unaikuta ndani ya radha ya kabumbu inayopigwa na mnyama, kama lile goli la kanoute wengi tuligipia puli lilikuwa na falvour
Unachekesha kwahyo huko ukolon ni mwendo wa puli tu na kina babu onyango?
 
Wamepagawa kuona Yanga inatimiza zaidi ya siku 360+ bila kufungwa mechi yoyote ndani ya dk 90 wanaona kama moto unawafuata.
Tarehe 12/9/2021 na tarehe 19/9/2021 hizo ni siku mlizopewa vipigo na rivers utd. Je kutoka hizo tarehe mpaka sasa ni siku 360+? Hakika utopolo ni utopolo.
 
Yanga tamu

Uongozi kwenye league table kwa point 10 clear kabisa

Kwasasa tunasubiri mzoga wa simba na hatuna budi kula kama ulivyo kwenye league na Azam semi-final
Ila mimi ananikera Ahmed Ali zaidi alivyokua ananikera Haji Manara akiwa Simba.
 
Tarehe 12/9/2021 na tarehe 19/9/2021 hizo ni siku mlizopewa vipigo na rivers utd. Je kutoka hizo tarehe mpaka sasa ni siku 360+? Hakika utopolo ni utopolo.
Premier league fixture Yanga wana Siku 360+ bila kupoteza mchezo wowote na Mara ya mwisho ilikuwa ni dhidi ya Azam msimu uliopita pale uwanja Wa Mkapa na goli likifungwa na Mwana mfalme Dube
 
Premier league fixture Yanga wana Siku 360+ bila kupoteza mchezo wowote na Mara ya mwisho ilikuwa ni dhidi ya Azam msimu uliopita pale uwanja Wa Mkapa na goli likifungwa na Mwana mfalme Dube
Mwenzenu kasema bila kufungwa mechi yoyote hakusema premier league.
 
Back
Top Bottom