Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Penalties mpewe nyinyi tuu,wakipewa Yanga kahonga tena nyinyi mmezidi mnapewa vyote red card kwa wapinzani na penalties.Mpira una hanithiwa kizembe na marefa wenye njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penalties mpewe nyinyi tuu,wakipewa Yanga kahonga tena nyinyi mmezidi mnapewa vyote red card kwa wapinzani na penalties.Mpira una hanithiwa kizembe na marefa wenye njaa
Alikuwa anawapa laana na ndio hii inawatesa mpaka refa anaingilia kati si mchezoKwa akili hizo sio muda utavua chup hadharan kama kolo mwenzenu morrizon
Unachekesha kwahyo huko ukolon ni mwendo wa puli tu na kina babu onyango?Hiyo ni package ambayo unaikuta ndani ya radha ya kabumbu inayopigwa na mnyama, kama lile goli la kanoute wengi tuligipia puli lilikuwa na falvour
Mnategemea laana ndio iwasaidie? pambaneni mna mechi na vibonde wenzenu pamba fc.Alikuwa anawapa laana na ndio hii inawatesa mpaka refa anaingilia kati si mchezo
Wamepagawa kuona Yanga inatimiza zaidi ya siku 360+ bila kufungwa mechi yoyote ndani ya dk 90 wanaona kama moto unawafuata.Katolewa Geita Gold ila wenye uzuni na stress ni Makolo
Tarehe 12/9/2021 na tarehe 19/9/2021 hizo ni siku mlizopewa vipigo na rivers utd. Je kutoka hizo tarehe mpaka sasa ni siku 360+? Hakika utopolo ni utopolo.Wamepagawa kuona Yanga inatimiza zaidi ya siku 360+ bila kufungwa mechi yoyote ndani ya dk 90 wanaona kama moto unawafuata.
MAKOLOKOLO wanateseka sana [emoji23]Katolewa Geita Gold ila wenye uzuni na stress ni Makolo
Wababe wako wanazungumzia hapa TZ wewe umerukwa akili au [emoji848] [emoji1787]Tarehe 12/9/2021 na tarehe 19/9/2021 hizo ni siku mlizopewa vipigo na rivers utd. Je kutoka hizo tarehe mpaka sasa ni siku 360+? Hakika utopolo ni utopolo.
Ila mimi ananikera Ahmed Ali zaidi alivyokua ananikera Haji Manara akiwa Simba.Yanga tamu
Uongozi kwenye league table kwa point 10 clear kabisa
Kwasasa tunasubiri mzoga wa simba na hatuna budi kula kama ulivyo kwenye league na Azam semi-final
Premier league fixture Yanga wana Siku 360+ bila kupoteza mchezo wowote na Mara ya mwisho ilikuwa ni dhidi ya Azam msimu uliopita pale uwanja Wa Mkapa na goli likifungwa na Mwana mfalme DubeTarehe 12/9/2021 na tarehe 19/9/2021 hizo ni siku mlizopewa vipigo na rivers utd. Je kutoka hizo tarehe mpaka sasa ni siku 360+? Hakika utopolo ni utopolo.
Unahamia Simba tu Brother......No doubtIla mimi ananikera Ahmed Ali zaidi alivyokua ananikera Haji Manara akiwa Simba.
Kwa hiyo Utopolo ipo kwa ajili ya kucheza Tz tu?Wababe wako wanazungumzia hapa TZ wewe umerukwa akili au [emoji848] [emoji1787]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Usiteseke sana na ni rekodi za kawaida tu Katika sokaKwa hiyo Utopolo ipo kwa ajili ya kucheza Tz tu?
Mwenzenu kasema bila kufungwa mechi yoyote hakusema premier league.Premier league fixture Yanga wana Siku 360+ bila kupoteza mchezo wowote na Mara ya mwisho ilikuwa ni dhidi ya Azam msimu uliopita pale uwanja Wa Mkapa na goli likifungwa na Mwana mfalme Dube
Point of correctionMwenzenu kasema bila kufungwa mechi yoyote hakusema premier league.
Mpira una hanithiwa kizembe na marefa wenye njaa
Siteseki naweka rekodi sawa.Usiteseke sana na ni rekodi za kawaida tu Katika soka
Just normal to have more than a year bila kupoteza match league