Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Hongereni Geita Gold kwa kuonesha kiwango kizuri, na pia kwa upinzani wa kweli. Hakika leo cha moto tumekipata.

Na kiukweli timu zote mbili zilikuwa na uwezo wa kwenda nusu fainali. Ila ndiyo hivyo tena, bahati haikuwa upande wenu.

Na mwisho kabisa muwapuuze wale walalamishi wa kila kitu! Maana hawajui chochote, zaidi tu ya kulalamika.
 
Get well soon
We ndo coward kabisa heri ya wenzako waliothubutu kuleta mbwembwe kabla ya mechi halafu wakaja kubadilisha upepo baada ya kuona mambo magumu kuliko wewe unayeonekana baada ya kushinda (kwa kubebwa)
 
Future ni kuwa kolo hana jipya kwa bingwa wa kihistoria

Angalia mechi zake 2 za nyuma kolo ni chupli chupli

Wakat bingwa anapiga tu kila timu na inaridhika kwA kipigo
Unaonekana hujui kiingereza, mpira sio historia dogo.

Narudia tena, nawataka sana nusu fainali na hao kina Mayele wenu tena hapo kwa Mkapa au pengine popote pale.
 
Sawa leo mchezaji wenu aliyeingia na filimbi kawaokoa
Sisi tuokolewe

We ndo huwa unaokolewa Hadi sasa unaongoza kwA kupewa penati, dk za nyongeza na kuhairishiwa mechi bila sababu za maana
 
Kila mechi unakuja na visingizio hivi.

Tushakutana na nyie ngao ya jamii na kwenye ligi katika msimu huu.

Mlishinda?

Au haikuchezeshwa na refa?
Ushaona Simba imeweka press kuzungumzia marefa?

But you did

Mechi ikiwa ngumu sandeni huo ndio uungwana haya leo tumeona kitu cha kitofauti sio mayele leo ilikuwa ni zamu ya refa kutetema
 
Unaonekana hujui kiingereza, mpira sio historia dogo.

Narudia tena, nawataka sana nusu fainali na hao kina Mayele wenu tena hapo kwa Mkapa au pengine popote pale.
Geita wanajua kiingereza

Simba wanajua kiingereza

Mimi sijui kiingereza ila nna raha sana vile yanga anawatupia vitu

Wewe wajua kiingereza vp una raha ya ushindi ama hicho kiingereza kimekupa furaha gani.
 
Mpira akicheza simba utagundua kufunga magoli ni vipaji na maufundi

Mpira akicheza yanga unaona kupata ushindi ni mpaka connection
 
Back
Top Bottom