zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Ndugu yake koloVipi huko nani kachezea za uso?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yake koloVipi huko nani kachezea za uso?
NdioJina la refa ni bahati?
Makolo wanaendelea teseka
Haya Kila la kheriUkiona bahati ipo kwako ujue basi kombe ni lako.
Kabisa, unataka sema hata yule aliye shika ndani ya 18 alikuwa yanga piaGeita wameangushwa na wachezaji wao waliowahi kucheza Yanga
Angalia tu usinywe sumu mkuu.Kwa haya matokeo siku imeisha vibaya
SanaRefa ameplay role kubwa sana, naamini mzigo wake wa GSM ni mnono
Pole saaaaana mkuu.Huu ni umaza faka na ni aibu kwa kilichotokea kuita soccer
Alimanisha wasengenyajiImefikia hatua ya kututusi? Huu si uungwana mzee
KabisaaMpira huu yanga ata kuwa Giant humu humu ila nje watamtwanga mno
Maumivu yakizidi muone dokitariMpira huu yanga ata kuwa Giant humu humu ila nje watamtwanga mno
kwanini!?Chanel ya Azam kwenye mechi za yanga wawe wanarusha katuni tu
Aisee!! Poleni sanaKwa haya matokeo siku imeisha vibaya
Sawa cha muhimu humu awatwange mbwa woteMpira huu yanga ata kuwa Giant humu humu ila nje watamtwanga mno