Yanga 2-0 Azam FC | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Kwani Simba wao walichukuwaje ubingwa kwenye viwanja hivyo hivyo?
 
weka akiba ya maneno round ya kwanza iishe ,bado kuna changamoto ya viwanja vya mikoani
Nilishaweka mpaka uzi humu mwanzoni kabisa mwa ligi nikisifia hiki kikosi! Sina akiba ya maneno. Msimu huu Yanga ndiye Bingwa, kutokana na uzuri wa kikosi chake.

Anapiga nyumbani na ugenini! Viwanja vya matope, nyasi bandia, nyasi asili, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…