ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Au wapandishwe Tata zile zenye siti kama umekalia mbao.... Basi jipya walionee kideoni....wanatakiwa wakande mandazi wajue ilivyo ngumu kutafuta hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wapandishwe Tata zile zenye siti kama umekalia mbao.... Basi jipya walionee kideoni....wanatakiwa wakande mandazi wajue ilivyo ngumu kutafuta hela
Nje ndani na Rivers + magoli 6 cecafa.Mara ya mwisho Yanga kufungwa goli ni lini?
Simba tutamfanya mchemsho ili tule na maini.Unapigwa mwingi sana yaani mpaka unamwagika,mara Aucho, Bangala, Fei toto Muloko....... kudadadadekiiiii huuu mwaka huu
Hii timu endapo wasipouza wachezaji, wachezaji wakilipwa stahiki zao kwa muda muafaka, kusipokuwa na migogoro bila shaka itafika mbali sana. Kila siku timu ina improveYanga wako na timu nzuri sana..lile biriani letu lote limehamia kwao..hongera kwao..! Wakicheza hivi game zote ubingwa mapema tu.
Never underestimate SimbaMwe!!! Hii Yanga ni tamu!!! Hivi kuna wa kuizuia kweli kuchukua ubingwa msimu huu!! Moo fc!! Aaaah wapi!! 🤸
Yani unaweza ukapiz huku unatazama mechi. Maana ni utam tu!Ila hii Yanga mpaka Nashindwa kupata cha kusema
Alafu wakabebeka au sio?Yanga wameatahili ushindi japo kuna nyakati refa aliwabeba
weka akiba ya maneno round ya kwanza iishe ,bado kuna changamoto ya viwanja vya mikoaniMwe!!! Hii Yanga ni tamu!!! Hivi kuna wa kuizuia kweli kuchukua ubingwa msimu huu!! Moo fc!! Aaaah wapi!! 🤸
Nilishaweka mpaka uzi humu mwanzoni kabisa mwa ligi nikisifia hiki kikosi! Sina akiba ya maneno. Msimu huu Yanga ndiye Bingwa, kutokana na uzuri wa kikosi chake.weka akiba ya maneno round ya kwanza iishe ,bado kuna changamoto ya viwanja vya mikoani