Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Manara atatutesa sana wiki nzima kwa tambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaAzam pumbavu wanamtia hasara mzee bakhresa
Na uwanja....Azam Fc kitu pekee wanachoweza ni kumiliki basi zuri
labda muungane nao muwe timu moja mnaweza pata droo.Azam hawawezi kuwa mshindani wa Uto hawapo serious... Yule zeruzeru anajidaganya...
Kha kha khaaa hili pira tunalo lipiga,kuna la tatu hapa.
😂😂😂Azam pumbavu wanamtia hasara mzee bakhresa
Wala hakuna haja ya kuungana... Kama kupigwa mtapigwa tuu...labda muungane nao muwe timu moja mnaweza pata droo.
Rudia tena.......... ana nini.....Game bado sana
Azam anashida hii game
nakwambiaManara atatutesa sana wiki nzima kwa tambo
Wanatakiwa wakande mandazi wajue ilivyo ngumu kutafuta helaAzam pumbavu wanamtia hasara mzee bakhresa
Hahahaha watu mna manenoYanga ya Congo
Mtoa mada ni makolo, ulianzisha uzi wa kimbea, mwisho kaukimbia.Mtoa updates ni timu makolo mbona umeacha kuweka updates wakati goli limeongezeka