Yanga 2-0 Mbeya City | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Yanga walikaa miaka minne bila kufungua nyuzi kama hizi, sasa hivi Mungu amewaona wanaanza jeuri
unasahau mapema sana
mwaka majuzi simba anachukua ubingwa yanga alikuwa anaongoza hata kuingia uwanjani kuisapo timu yao
 
Mbeya City imecheza mechi J5 na kusafiri kwa basi hadi Dar. Utopolo inapendelewa sana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…