Yanga 2-0 Mbeya City | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Yanga 2-0 Mbeya City | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

TFF wameshindwa kutunza pitch ya Mkapa wanachoweza wao ni makato ya uwanja bila kuwa na matunzo bora hawaangalii viwanja vya wenzetu huko wachezaji wanakuwa mapumziko wataalamu wa nyasi wanaingia uwanjani kurekebisha kiwanja baada na kabla ya gemu...wanachojua wao ni kukata nyasi tuu..
 
Tff haikati makato ya uwanja Bali serikali,bimaana ndiyo wenye uwanja
 
Ligi ya Tanzania ikichunguzwa na FIFA itafungiwa miaka mingii kwa uhuni wa game fixing.
Na ikitokea hivyo Basi ngada ndio itabaki historia kua ilikuwepo timu hiyo,mzigo wa muhindi umekata mnaanza kulialia
 
Yule bwana mwenye tumbo kubwa pale tfff tunamuomba atoe amri kesho tucheze kiporo kimoja kingine jumatatu
 
Yanga kama Yanga. Nani mwingine anakuja?💚💚💛💛
 
Tff haikati makato ya uwanja Bali serikali,bimaana ndiyo wenye uwanja
Tff inapata fedha nyingi kutoka kwenye huo Uwanja mbona mapato huwa yanatangazwa tena kwa % ina maana hujawahi kusikia kuhusu hilo mpaka BMT pia wana mapato wanapata..
 
Back
Top Bottom